Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,768
- 32,175
Nina aibu kijana tuma namba nikuwekee chap🤌🏾Tuma hata cotton moja ya maji Gen T, waoshee Tear Gas usoni,uwe na aibu.
Sema sijawapata hao Gen T ndo kina nani au kina uncle t😂
Nina aibu kijana tuma namba nikuwekee chap🤌🏾Tuma hata cotton moja ya maji Gen T, waoshee Tear Gas usoni,uwe na aibu.
Na sisi wa huku Mbeya, tunaanzia wapi?
Kweli mi zombie sijui kumbe kuna vocabulary mpya mjini na hamsemi😂 mmhHaihitaji Namba..wkt unaenda kupiga kura yako utanikuta barabarani unipe maji ayo..ukinipa usepe haraka maana ukikawia nakuitia wavaa 😷 mask tutembee na wewe.
Gen z Kenya, bongo ni Gen Tanzania(mioga imo umo,mijasiri imo,mi nafiki imo )
Hiyo ndo Gen 🇹🇿 Tanzania
Wee zombie haujui
Vingunguti ulihama?Na sisi wa huku Mbeya, tunaanzia wapi?
MafiatiNa sisi wa huku Mbeya, tunaanzia wapi?
Hatokuwa wa kwanza wengi walikosoa tu na hawajarudi milele.aga na ndugu zako kabisa maana una weza usirudi milele mkuu
Nimerudi kituo changu cha upigaji kura ili niandamane kwenye himaya yangu 😎Vingunguti ulihama?
Au uvivu wa kuandamana 😹
Hatuuziwi uoga. Kwani nyie machawa mtaishi Milele.aga na ndugu zako kabisa maana una weza usirudi milele mkuu
tubongo kwa mikwaraNa hao polisi muafikishie ujumbe huu huu.
Wasijione wao kama ndio wameshikilia mpini huku wananchi wameshika makali, wakajisahau wakihisi wako safe.
💚✅
Kwahyo kesho kazi yangu ya kurusha miziki atafanya nani mkuu
Hiyo mwachie huyo dogo unaeshindaga nae hapo, huyo dogo aliesuka virasta na aliacha shule akiwa form 2Kwahyo kesho kazi yangu ya kurusha miziki atafanya nani mkuu