Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,674
- 37,852
katika uchambuzi wako wa huo waraka hujaona faida yeyote ya mizigo kuwa monitored, nje ya hasasra uliyo ona.
katika uchambuzi wako wa huo waraka hujaona faida yeyote ya mizigo kuwa monitored, nje ya hasasra uliyo ona.
MSUKUMA AJUII KUPINDAA KASOMA NYAKATI DILI ZOTE ZIKO BANDARINI NAWAMBIA YALE MAHAMMER MTAPAKI TU TUKUTANE MWENDOKASIAwamu hii ujanja ujanja kwishney.. Magu kiboko
MPWA KUNYWA JUICE YA AZAM NIANDIKIE INVOICEKwanini uwe na nyumba yenye nafasi halafu mpangaji anayetafuta nyumba ya kupanga unamtafutia nyumba nyingine. Kama kuna nafasi bandarini hakuna haja ya kuhamisha mizigo kwenda ICD
Mi huwa najiuliza; hivi kuna siku tutasikia hotuba isiyo na malalamiko na lawama tka kwa mkuu kwenda wateule wake na mkuu wa awamu iliyopita?
Hivi haiwezekani mkuu kufanya kazi kwa weledi bila hata kwenda kumwaga hasira kwenye majukwaa?
Hivi haiwezekani kufanya kazi bila kuhitaji kushangiliwa?
Mwaka unawisha kwa kusikia mihadhara yenye mihemuko na lawama zaidi kuliko maneno chanya ya kuleta hamasa bila ku-inculcate nidhamu ya woga kwa watumishi.
Just thinking aloud!
Hivi unafikiri hawajui hilo unalosema?! Huu ni muendelezo tu wa kupinga chochote kile ili mradi tu.Mkuu kuwa mkweli,
kwenye mkataba wa TPA na ICD kuna kipengele ki nasema kuwa, mizigo itapelekwa IDC ikiwa tu eneo la kuhifadhia mizigo hiyo au Containers ndani ya Bandari litakuwa limejaa.
Sasa ICD nyingi zikawa zina mtandao wao hapo bandarini ambapo mizigo ikifika tu hata kama ndani ya Bandari bado kuna nafasi ya kuhifadhi mizigo ilikuwa inapelekwa ICD hivyo kuikosesha TPA mapato yake na wakati mwingine ICD zilikuwa zinawacheleweshea wateja wao mizigo yao kwa makusudi ili waweze kupata mapato.
kwa hatua hii, naishukuru sana serikali kwa hatua hii.
Mirija imezibwa.Kwanini uwe na nyumba yenye nafasi halafu mpangaji anayetafuta nyumba ya kupanga unamtafutia nyumba nyingine. Kama kuna nafasi bandarini hakuna haja ya kuhamisha mizigo kwenda ICD
Ni kweli imekula kwenu. Ujanja ujanja hamna, mlietegemea aje muendeleze ujanja hata 2025 hatakuja! Mlizoea kupeleka mizigo kwenye ICD zenu wakati bandarini kuna nafasi.Mkuu,hii imekula kwetu.
Na kweli imekula kwenu, jaribuni miaka mingine 50 ijayo.Mkuu,hii imekula kwetu.
Ajira za ujanja ujanja hazina tija, acha zipotee tu.Tatizo si kodi ndg hapa ni ajira. Nchi inapokua na wasio na ajira wengi ni tatizo. Viongozi wote duniani hujivunia kuongeza ajira lkn hapa kwetu tunasifia MTU anae poteza ajira. Ajabu!?
Na hili bila shaka ndilo linamsukuma mzee wa pembe za ndovu afikirie kubwaga manyanga!Kwa mara nyingine tunaelekea kuona zaidi ya watu 50,000 wanaenda kupoteza ajira baada ya serikali kupitia SUMATRA kutoa waraka wa kuzuia mizigo yote inayoingia bandarini kubaki hapo tofauti na awali ambapo mteja alikuwa anaweza kuamua container yake akaitolee Icd atakayochagua.
Waraka huo ambao umetolewa tarehe 10, 2016 unaelekeza amri hiyo imeanza kutekelezwa tangu tarehe 7/10/16.
Kwa uamuzi huo wa serikali maana yake sasa zile ICD zote zitabaki bila kazi na kupelekea wafanyakazi karibu wote kupoteza ajira.
Kwani ikipita ICD inakuwa sio monitored? Unafahamu kuwa serikali yenyewe iliwawekea mazingira rafiki kibiashara wamiliki wa ICD wakawa na uhakika wa biashara na kuweza kuchukua mikopo kwenye mabenki wakiamini watarejesha kupitia hiyo biashara? Mkuu Longo ajira ambazo zinaenda kupotea sio suala la kubeza hata kidogo!katika uchambuzi wako wa huo waraka hujaona faida yeyote ya mizigo kuwa monitored, nje ya hasasra uliyo ona.
Well said mkuuSadly, watanzania walio wengi wanapenda siasa nyepesi anazofanya Magufuli. Siasa zisizo na substance, populistic na sadistic. Maana watanzania wengi walio masikini wana mentality kwamba ukiwa na uwezo wa fedha na mali, basi wewe ni mwizi ama fisadi. Dhana ambayo Magufuli pia anayo kutokana na poverty mentality yake. Partly, ujamaa unaweza kuwa sababu ya haya.
Kumbe Tanzania ni nchi maskini? Wewe ndiyo mmoja wa watanzania ninaowazungumzia. Umejazwa poverty mentality na serikali za CCM na kuaminishwa nchi yetu ni maskini. Huku viongozi unaowashabikia wakiishi luxurious life! Kwa hiyo swali lako unaweza kuliweka hivi: kwanini viongozi wa serikali (wakiongozwa na Rais) waishi luxurious life kwenye nchi 'maskini'?Kwanini uwe tajiri kwenye nchi masikini?
Mtu aliye sadist (kama Magufuli) uwa na roho mbaya sana; yaani sadist uona raha pale akiona watu wengine wakiteseka. Ndiyo maana uwa anasema anataka watu waishi kama mashetani! Yaani Magufuli ni sadist wa kiwango cha peke ulimwenguni. Hana tofauti na viongozi kama akina Hitler, Idd Amin, Mussolini n.k. ambao walipata pleasure kwa ku-inflict pain on their people.Well said mkuu
Umesahau roho mbaya.
Habari ingekuwa imekamilika; kwa maana yenye uthibitisho, ningemwalika Nguruvi3 ili tujadili kwa mapana na marefu manake ni majuzi tu hapa tumezungumzia ubanaji wa fursa wa microeconomic growth! Najua zinaweza kutolewa cheap justifications kwamba ICD zilikuwa zinatumika kutorosha makontena...! Kama ndivyo, solution sio ku-abuse matumizi ya ICDs bali kuhakikisha kila mzigo unaotoka na kuingia ICD umelipiwa kodi!! Impact ya hizi ICDs ni kubwa sana kiuchumi!! Hapa wanatakiwa kukumbuka WHY ICDs!!! ICDs zipo duniani kote ili kutoa mwanya kwa bandari ku-handle kila mzigo unaoingia vingenevyo itafika wakati meli inashindwa kushusha mizigo kwa kuwa hamna pa kuweka!
Kama habari hii ni ya kweli, basi lengo la serikali hapa ni kupata mapato kupitia mizigo ambayo itapitisha muda unaoruhusiwa kuwa stored for free! Hapa wanasahau suala la efficiency ambalo ni muhimu kweli kweli kwa kuvutia wafanyabiashara wengi zaidi!
RIP Microeconomic sector...
Tuwekee Mkuu manake kama ndivyo, basi tuna safari ndefu!!!Mkuu Naweka Uthibitisho