Rasmi: Nimeamua kuachana na mtandao wa Twitter na Instagram

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,301
1,767
Habarini za weekend ndugu zangu natumaini nyote wazima wa afya Mungu anatupigania .Pia nitangulize shukran zangu za dhati Kwa Wana Jf wote kokote mlipo duniani.Turejee katika mada.

Nimeamua kuacha na hii mitandao Kwa sababu zangu za msingi na zenye tija kabisa Sina la kujutia wala nini . Twitter nimekuwa member Kwa miaka 6 Sasa lkn Kwa haya yanayoendelea humo nimegive up kbsà I can't . Sababu zenyewe ni hizi hapa.

1. Kuwepo Kwa connection. Twitter kumekuwa na sehemu penye kusambaa videos za kla aina . Seeikali yetu pendwa imefanya jituhada zake za dhati Kwa kujali taifa na vijana wake Kwa kuziblock website zote zenye maadili mabaya Kwa lengo la kuilinda tz pongezi kwao lakini huku Twitter mambo ndivyo sivyo.

2 . Me connection Tz . Huyu jamaa nakuta kumfaham lqana yangu ikufikie popote pale ulipo unatufanya tukeshe kwenye page yako zaidi ya masaa matatu unatufanya tunafanya dhambi huyu kiumbe seeikali iingilie Kati maana sio Kwa hii account.

3. Mr Utopolo, hawa ñdo wamenifanya mm Mpaka kufikia retirement juu ya Twitter Kwa hali ilipo fikia Sina budi kukimbia Kwa usalama wangu kimwili na kiroho hawa watu wanajulikana Kwa asilmia kubwa ya watu wanaotimia Twitter Tz wanawajua hawa from my own experience nadhanhapa Jf Kuna mashaidi.

4. PILAU. NYAMA. , yanayoendelea huko Twitter ndugu zangu ni kusambazia a connection na location unapewa kuipata full Link ni hatàr Sana hawa watu wanakila aina ya uchafu kwenye account zao ukiwapwruzi utachukua sii chini ya masaa matatu upo kwa Mr connection Tz cha kushangqza zaidi ni za wabongo wenzetu kanisa sijui wanazitoaga wapi .Mm mwanzoni nilikuwaga na kaujinga flan hiv nasema ety nazitazama ili niwafahamu wahusika hata in really Life nisije oa kumbe ni Malaya lkn haikuwa kweliy nilikuwa najioa fake sababu ya kuzitazama ikawa KAZI na dawa.

Tupaze sauti zetu kwa pamoja tupinge vikali Sana huu mtandao unatumika kama kivuli cha kuweka hizo access baada ya kublokiwq kwenye website So.

Watu tunakesha twitter tunakosa hata Muda wa kuungama wajumbe kwa Hali hii hatuendi mbinguni.

Bid farewells kwa wapwa wa Twitter na IG.
 
Habarini za weekend ndugu zangu natumaini nyote wazima wa afya Mungu anatupigania .Pia nitangulize shukran zangu za dhati Kwa Wana Jf wote kokote mlipo duniani.Turejee katika mada

Nimeamua kuacha na hii mitandao Kwa sababu zangu za msingi na zenye tija kabisa Sina la kujutia wala nini . Twitter nimekuwa member Kwa miaka 6 Sasa lkn Kwa haya yanayoendelea humo nimegive up kbsà I can't . Sababu zenyewe ni hizi hapa
1. Kuwepo Kwa connection. Twitter kumekuwa na sehemu penye kusambaa videos za kla aina . Seeikali yetu pendwa imefanya jituhada zake za dhati Kwa kujali taifa na vijana wake Kwa kuziblock website zote zenye maadili mabaya Kwa lengo la kuilinda tz pongezi kwao lakini huku Twitter mambo ndivyo sivyo.
2 . Me connection Tz . Huyu jamaa nakuta kumfaham lqana yangu ikufikie popote pale ulipo unatufanya tukeshe kwenye page yako zaidi ya masaa matatu unatufanya tunafanya dhambi huyu kiumbe seeikali iingilie Kati maana sio Kwa hii account
3. Mr Utopolo, hawa ñdo wamenifanya mm Mpaka kufikia retirement juu ya Twitter Kwa hali ilipo fikia Sina budi kukimbia Kwa usalama wangu kimwili na kiroho hawa watu wanajulikana Kwa asilmia kubwa ya watu wanaotimia Twitter Tz wanawajua hawa from my own experience nadhanhapa Jf Kuna mashaidi
4, PILAU. NYAMA. , yanayoendelea huko Twitter ndugu zangu ni kusambazia a connection na location unapewa kuipata full Link ni hatàr Sana hawa watu wanakila aina ya uchafu kwenye account zao ukiwapwruzi utachukua sii chini ya masaa matatu upo kwa Mr connection Tz cha kushangqza zaidi ni za wabongo wenzetu kanisa sijui wanazitoaga wapi .Mm mwanzoni nilikuwaga na kaujinga flan hiv nasema ety nazitazama ili niwafahamu wahusika hata in really Life nisije oa kumbe ni Malaya lkn haikuwa kweliy nilikuwa najioa fake sababu ya kuzitazama ikawa KAZI na dawa
Tupaze sauti zetu kwa pamoja tupinge vikali Sana huu mtandao unatumika kama kivuli cha kuweka hizo access baada ya kublokiwq kwenye website So
Watu tunakesha twitter tunakosa hata Muda wa kuungama wajumbe kwa Hali hii hatuendi mbinguni .
Bid farewells kwa wapwa wa Twitter na IG

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wengine awatumii twitter ulivokuja na majina ya hao wasambazaji utawafanya waanze kutmia twitter

Hapa ni kama unazibrand mzeee
 
Badala ya kuwezesha watu kujitoa..ndio umewapa watu link ya kwenda kutazama kilichokutoa...tena wao ndio wanaenda kujiunga kuziba nafasi yako.
 
Habarini za weekend ndugu zangu natumaini nyote wazima wa afya Mungu anatupigania .Pia nitangulize shukran zangu za dhati Kwa Wana Jf wote kokote mlipo duniani.Turejee katika mada

Nimeamua kuacha na hii mitandao Kwa sababu zangu za msingi na zenye tija kabisa Sina la kujutia wala nini . Twitter nimekuwa member Kwa miaka 6 Sasa lkn Kwa haya yanayoendelea humo nimegive up kbsà I can't . Sababu zenyewe ni hizi hapa
1. Kuwepo Kwa connection. Twitter kumekuwa na sehemu penye kusambaa videos za kla aina . Seeikali yetu pendwa imefanya jituhada zake za dhati Kwa kujali taifa na vijana wake Kwa kuziblock website zote zenye maadili mabaya Kwa lengo la kuilinda tz pongezi kwao lakini huku Twitter mambo ndivyo sivyo.
2 . Me connection Tz . Huyu jamaa nakuta kumfaham lqana yangu ikufikie popote pale ulipo unatufanya tukeshe kwenye page yako zaidi ya masaa matatu unatufanya tunafanya dhambi huyu kiumbe seeikali iingilie Kati maana sio Kwa hii account
3. Mr Utopolo, hawa ñdo wamenifanya mm Mpaka kufikia retirement juu ya Twitter Kwa hali ilipo fikia Sina budi kukimbia Kwa usalama wangu kimwili na kiroho hawa watu wanajulikana Kwa asilmia kubwa ya watu wanaotimia Twitter Tz wanawajua hawa from my own experience nadhanhapa Jf Kuna mashaidi
4, PILAU. NYAMA. , yanayoendelea huko Twitter ndugu zangu ni kusambazia a connection na location unapewa kuipata full Link ni hatàr Sana hawa watu wanakila aina ya uchafu kwenye account zao ukiwapwruzi utachukua sii chini ya masaa matatu upo kwa Mr connection Tz cha kushangqza zaidi ni za wabongo wenzetu kanisa sijui wanazitoaga wapi .Mm mwanzoni nilikuwaga na kaujinga flan hiv nasema ety nazitazama ili niwafahamu wahusika hata in really Life nisije oa kumbe ni Malaya lkn haikuwa kweliy nilikuwa najioa fake sababu ya kuzitazama ikawa KAZI na dawa
Tupaze sauti zetu kwa pamoja tupinge vikali Sana huu mtandao unatumika kama kivuli cha kuweka hizo access baada ya kublokiwq kwenye website So
Watu tunakesha twitter tunakosa hata Muda wa kuungama wajumbe kwa Hali hii hatuendi mbinguni .
Bid farewells kwa wapwa wa Twitter na IG

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeamua kupiga promo kwa gia ya ku-retire anyway binafsi nimekuelewa ngoja nikachek juu ya hii mialiko!!
 
Nikajua unaandika hbr za msingi, kumbe ujinga wako tu..mbona wengne hvyo hatuvioni
 
Back
Top Bottom