Nimeamua kukata mnyororo wa fitina na ndugu, jamaa na marafiki

Mr sule

JF-Expert Member
Oct 14, 2021
607
1,097
Katika maisha sina kitu kinanipaga tena presha na hii ni baada ya malengo yangu matatu makuu kukamilika nikiwa under 30.

Ndoto ya kwanza ilikuwa kuishi katika nchi kubwa Duniani. hii nilitimiza.

Ndoto ya pili ilikuwa ni kumiliki pesa, niseme kupata pesa bila kutumia nguvu. hili nalo nimefanikiwa .

Na ndoto ya mwisho kumpa mwanamke anipendar, hii ilikuwa changamoto nilifeli mara mbili lakini maombi yangu yalijibia.

Hayo ndo malengo Usiku mchana nikikuwa nikimuomba Mungu ayatimize katika maisha yangu. baada ya Mungu kufaya kweli, kuwa na mke anipendar, Kumiliki pesa, na kumiliki uraia wa Marekani, sinaga kingine cha kumuomba.

Ni wakati wangu wa kurudisha fadhila, mimi ni mtu ambae naishi na watu ambao tunaongea nao kila siku, ila kama hatuna mazoea ni ngumu sana kuwa karibu na wewe hata ukiwa ndugu yangu katika familia au ukoo.

Nataka nikate mnyororo huu. Leo nimeamua niwatafute ndugu zangu wote kadri iwezekanavyo niwe na namba zao, niwasikilize shida zao na kuwasaidia hata kama hutokuwa na muda na mimi ila mimi nitakuwa mpole na kukujulia hali kadri niwezevyo.

Nimefanikiwa kutoa ajira ya kilimo kwa ngazi ya familia upande wa baba na familia upande wa wajomba.

Nataka sasa nianze kuwasiliana na mtu mmoja mmoja kumsikiliza shida zake na kufanya kitu ili tuweze kuondoa hizi changamoto za maisha.

Sitodai fadhila na sitegemee kitu kutoka kwa yeyote nitakae msaadia ila nataka nijitoe kwa hali na mali

Amen
 
First of all just fucky ur Ego and don't look for social proof anymore.
 
Wasaidie tu ndugu zako ikiwezekana wainue waongeze mitaji kwenye biashara zao
Wape mitaji wafanye biashara
 
Huwajui wabongo unamsalimia tu anakupiga kizinga je ukimuuliza shida sio ndio umempa handicap hapo.
 
Lazima nimsaidia kulingana na uwezo wangu, imaginr huna hata pa kupata buku, nikakuambia nenda veta kasa kozi fulani alafu ukirudi, tutafanya biashara kulingana na ulichosomoa.
 
Back
Top Bottom