Rasmi: Nimeamua kuachana na mtandao wa Twitter na Instagram

Ulicho kifanya hapa ni kupiga promo kweny hizo pages/accs ambao hatukua tukifaham maana ake twende twitter tuka angalie yaliyomo ndicho ulicho kilenga lakini pia ume zungumzia zaidi twitter ilihali ume taja mitandao miwili twitter & instagram leta sababu za kuacha na instagram pia
 
mimi sijawahi jamani, thanks God for that ,,Mungu amenifundisha kushukuru kwa kila jambo

Utataka ujaribu sasa hivi maana shetani unamkataa na mambo yake yote ila baada ya muda utasikia kasauti kichwani hivi hujawahi kweli si ukafungue kidogo uangalie yaliyomo halafu utoke, ukiingia ndiyo umenasa
 
Utataka ujaribu sasa hivi maana shetani unamkataa na mambo yake yote ila baada ya muda utasikia kasauti kichwani hivi hujawahi kweli si ukafungue kidogo uangalie yaliyomo halafu utoke, ukiingia ndiyo umenasa
hapana mkuu, nimeshawishiwa sana na marafiki niiingie hata facebook nimegoma kabisa, nina kamsimamo fulani ila kananisaidia.
 
Wale wabobezi msifanya marekebisho acheni makosa ili tuendelee kubaki na uwepo wa Mungu wale ambao hatujawahi
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣nakuona umeshaenda huko maana sio kwa kufuatilia huku

you more in details mkuu hahahahahhahaha
 
Akili yako binafsi inapenda uchafu hizoo account zote umekua ukizifata mwenyewe.
Hata kama wakifungia twitter kuna mudaa utakaa utazitafuta kwingineko.
Tatizo ni wewe
Wewe ni Tatizo.
Kweli kabisa km mm twitter yangu nimefollow watu wa siasa na vyombo vya habari kwa ajili ya kupata taarifa ndogo ndogo na mijadala mbalimbali
 
Wanasema wenyewe hakunaga Good or Bad publicity ....umeshakuuza ukubwa wa tatizo ama kwa kujua au kutokujua maana you have just made those accounts or handle famous
 
Yani sijawahi ipenda Facebook sijua naionaje kidogo insta, mimi nataka majukwaa yanayo niongezea vitu kichwani, Facebook kumejaa utoto sana baadhi lakini
santeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
JF the best place to be
 
Back
Top Bottom