Rasmi: Nimeamua kuachana na mtandao wa Twitter na Instagram

yaani mimi nijipongeze tu, sijawahi fika huko

hivi ilikuwa mpaka usaini pahali fulani eeeeh, maana sijawahi liona mimi jaman

Kule ulikua unapelekwa wakisha verify age yako na wewe ulikua bado banah
 
Hajajitoa bali yeye ni mmoja wao hao anapiga promo. Ubongo ni kama gari unaenda direction unayoupeleka
 
Nikajua unabanwa na bei za bundle..... Kumbe ni hizooo page...
Wasalimieee Mwaego hukoooo Fesibukuuuuu
 
Umezipa promo tu mkuu nikusaidie kuna

Chanuo
Mimiwewe71
Bongouch*

Na nyingine maelfu za mbele, bila South na Nigeria
 
Hili jamaa liongo likubwa hilooo!! tumelistukia eti linajitangaza kijanjaaa!! humpati mtu huko rudi tu kawaaambie waliokutuma kuwa yale majamaa yamestukia mchezo wenuuu huoooo!

km ulikutana nayo hayo weye piga kimya tu tambaa unakokujua....hata ivo bado hupati mtu hapa! km ni pauchi sijui msheded kila mutu anao!
 
Habarini za weekend ndugu zangu natumaini nyote wazima wa afya Mungu anatupigania .Pia nitangulize shukran zangu za dhati Kwa Wana Jf wote kokote mlipo duniani.Turejee katika mada.

Nimeamua kuacha na hii mitandao Kwa sababu zangu za msingi na zenye tija kabisa Sina la kujutia wala nini . Twitter nimekuwa member Kwa miaka 6 Sasa lkn Kwa haya yanayoendelea humo nimegive up kbsà I can't . Sababu zenyewe ni hizi hapa.

1. Kuwepo Kwa connection. Twitter kumekuwa na sehemu penye kusambaa videos za kla aina . Seeikali yetu pendwa imefanya jituhada zake za dhati Kwa kujali taifa na vijana wake Kwa kuziblock website zote zenye maadili mabaya Kwa lengo la kuilinda tz pongezi kwao lakini huku Twitter mambo ndivyo sivyo.

2 . Me connection Tz . Huyu jamaa nakuta kumfaham lqana yangu ikufikie popote pale ulipo unatufanya tukeshe kwenye page yako zaidi ya masaa matatu unatufanya tunafanya dhambi huyu kiumbe seeikali iingilie Kati maana sio Kwa hii account.

3. Mr Utopolo, hawa ñdo wamenifanya mm Mpaka kufikia retirement juu ya Twitter Kwa hali ilipo fikia Sina budi kukimbia Kwa usalama wangu kimwili na kiroho hawa watu wanajulikana Kwa asilmia kubwa ya watu wanaotimia Twitter Tz wanawajua hawa from my own experience nadhanhapa Jf Kuna mashaidi.

4. PILAU. NYAMA. , yanayoendelea huko Twitter ndugu zangu ni kusambazia a connection na location unapewa kuipata full Link ni hatàr Sana hawa watu wanakila aina ya uchafu kwenye account zao ukiwapwruzi utachukua sii chini ya masaa matatu upo kwa Mr connection Tz cha kushangqza zaidi ni za wabongo wenzetu kanisa sijui wanazitoaga wapi .Mm mwanzoni nilikuwaga na kaujinga flan hiv nasema ety nazitazama ili niwafahamu wahusika hata in really Life nisije oa kumbe ni Malaya lkn haikuwa kweliy nilikuwa najioa fake sababu ya kuzitazama ikawa KAZI na dawa.

Tupaze sauti zetu kwa pamoja tupinge vikali Sana huu mtandao unatumika kama kivuli cha kuweka hizo access baada ya kublokiwq kwenye website So.

Watu tunakesha twitter tunakosa hata Muda wa kuungama wajumbe kwa Hali hii hatuendi mbinguni.

Bid farewells kwa wapwa wa Twitter na IG.
Mkuu nakushukuru sana kwa hisia namna ya kupata pilau nyama na moyo kama huu
 
Sijawahi penda na wala sijawahi kujiunga na huo ujinga wa kuitwa TWITTER
 
Wengine mbona hatuzioni izo mambo au mi ndo Sina macho? ,ni wewe tu or may be wewe ulikuwa product wa icho ulichokisema
 
Back
Top Bottom