Rasmi nimeamua kuachana na betting. Kubet ni kutafuta umasikini na ufukara

We endelea kulia, izo zote nimepiga ndani ya wiki hii. Cheza live than angalia mpira vizuri kabla ya kustake
View attachment 1771945View attachment 1771946View attachment 1771947View attachment 1771948View attachment 1771950
Achilia mbali mikeka yote niliokula kuna mwezi upepo uliniijia vizuri nikapiga 9million but mpaka sasa nimepiga hesabu nimejikuta na hasara kubwa mno. Soo hiyo kula laki au 50,000 kwangu sio ishu. Unaweza kula 50,000 ukarudi kupoteza 200000 mfululizo soo hakuna unachokifanya
 
Karibu tufanye holding mkuu lak yako Leo baada ya miaka 3 mamilion ya pesa
 
Ndio maisha ya social media mtu anaonesha upande mmoja wa shilingi
 
Kuna mikeka ya lost kibao kaificha. Kulikuwa hakuna haja ya ku screenshot picha moja moja, yeye angeenda pale kwenye settled history yote loss and win inajionesha kisha ana screenshot picha moja anaiweka hapa.
 
Unaacha michezo ya hela mkuu acha utani
 
Kwakwel mkuu umenichekesha sana
umenifanya kukumbuka hiyo kauli nilitamkaga 2018 lkn nikarud ulingoni ila tambua betting ni km upepo flan hasa hizi mechi za mwisho wa ligi mzee mikeka inachanika mpk unasema sibet tena yan mwisho wa ligi usishanga timu ipo top 6 inapewa odd 3 na ambayo ipo mkian kabisa inapewa odds 2 yan timu za mkiani ni nuksi mwisho wa ligi ila pole sana pia hela ya betting usije kutoa zile pesa muhimu km nauli,chakula itakucost sana
 
Sio poa ndugu napenda pesa sana,pia na tamaa lakini pesa ya kanji ni ngumu asee. Kama utajiri unatoka kwenye kubet ngoja ikae sitoweka pesa yangu tena hata sh 10,
 
Ahaaaaa hatari tumuombee asirudi tena mchezo aumfai.
 
mimi baada ya kufanya analysis kwa strategy yenye lowest risk yaani odds ndogo nikaona ili niwe na continues winning inabidi katika mikeka 5 nishinde angalau 3 nikaacha huu ujinga.betting ni game tu asee usifanyie kupata pesa weka jero tulia. mambo ya kuweka laki gemu moja upate laki 2 . ndani ya mikeka mitano tu tayari una loss tayari una stress tayari una umaskini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni Jana tu. Tunacheza kujifurahisha. Hapo ungetia laki moja yako ungepata ngapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…