kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
- Thread starter
- #141
Kwahiyo atakuwa amefurahi eeh?Ulichelewa hata hivyo karne hii unadhani welevu tunaumia 😂😂😂 yaani tunahisi tumepunguziwa mizigo.
Kwahiyo atakuwa amefurahi eeh?Ulichelewa hata hivyo karne hii unadhani welevu tunaumia 😂😂😂 yaani tunahisi tumepunguziwa mizigo.
Mimi wa kikeumehasiwa au tezidume imekuandama
Ndio umewahi kulala Serena wewe ukasahau shida kidogo usiku mmoja akili ikawekwa sawaUmeanza mambo yako
Ndio wewe ni wa kike na una miaka 25Mimi wa kike
Ntakuja kulala siku 1 kwa pesa zanguNdio umewahi kulala Serena wewe ukasahau shida kidogo usiku mmoja akili ikawekwa sawa
Una kumbu kumbuNdio wewe ni wa kike na una miaka 25
Sana tu 🧤 ulishindwa kuingia kwa tahadhali ?! Ukaingia kichwa kichwa .Kwahiyo atakuwa amefurahi eeh?
Hapana nakupa ofa ulale wiki nzima kwa pesa zanguNtakuja kulala siku 1 kwa pesa zangu
Nyingi sana kwa hio Jimbo lipo wazi weka picha basi tupige kampeniUna kumbu kumbu
Aendelee na furaha zake mimi simzuiiSana tu 🧤 ulishindwa kuingia kwa tahadhali ?! Ukaingia kichwa kichwa .
Subiri uchaguzi mkuu mwezi wa 10Nyingi sana kwa hio Jimbo lipo wazi weka picha basi tupige kampeni
Hapana naogopa vya watuHapana nakupa ofa ulale wiki nzima kwa pesa zangu
Wala haviogopeshiHapana naogopa vya watu
Jasho la mtu huwa haliendi bureWala haviogopeshi
Ndiyo mkuuUmeachana na muasherati mwenzio
Ulikua unampa mpaka cha uvunguni ila umeamua kumuacha solembaNdiyo mkuu
Ni ofa tuJasho la mtu huwa haliendi bure
Acha hizo mkuuNi ofa tu