n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,536
- 7,254
No reform no election
Kila la kheriNo reform no election
Wala mimi siyo kiburi mwenzangu ndiyo siyo muelewaHakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu. Hakuna vita isiyo na sababu.
Kama wewe sio mjeuri basi kiburi. Badilika mkuu.
wanaume bado tupo karibuMimi wa kike
Asante. Mkuuwanaume bado tupo karibu
SafiNinasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.
Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteni🥲😢
njoo PM chapNinasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.
Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteni🥲😢
Ndoa Tena?Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyewe.
Mtekenyo ukianza utatafta mboo tuuu, lasivyo utajitia tango, usingo ni mbaya mno asikudanganye mtuNinasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.
Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteni🥲😢
Kuna nini hukonjoo PM chap
mimi huwa naponya kwa haraka sana mwambie To yeyeKuna nini huko
Tupe ushuhuda mkuuKwa niliyoyaona kwenye mahusiano hakuna kitu nitashauri zaidi ya kukutakia Kila la kheri
Wewe ni nabii
Mapenzi yanauma mkuu 🙌🙌🙌Jana nimelala kwa nguvu dawa Leo zimenishinda imebidi nipige wine nadhani usingizi utakuja ila ushuhuda nabaki naoTupe ushuhuda mkuu
Ulimaanisha hivi kweli kiongozi 🤔huu ni utumboo