Rasmi nimeachana na mapenzi

Rasmi nimeachana na mapenzi

Hapo vocha uloingilia hapa jamiiforum in this very minute kanunua mpenzi wako 🤣🤣🤣

Shenzi ukipata kingine Cha kuandika uje Ila huu ni utumboo
😁😁😁unanichekesha sana aisee
 
😁😁😁unanichekesha sana aisee

Ah. Ukuje PM nikuchekeshe vzr Sasa ....
Utam wa maji uyaoge na sio uyanawe tu kishkaji.

Nikisema njoo PM
UNAKUA chap KAMANDA...

Manake tumeachana na mapenzi ... Hapa tupo na misheni za mahusiano tu ..

Tuna excute mission then Kila mtu anakula Kona... Hivi hivyo.
 
Real men tupo ndugu yangu ila shida hatunaga swaga na makeke. Hatuvai brand, Tiktok na Insta hatuzijui na mbaya Sana hata kuchonga ndevu hatuwazi. Tukiwapenda tunawajali Sana mpaka mnadhani labda kutupenda kwenu ni bahati kwetu so mnaanza kulinga. Kawaida yetu, nice men with sigma mentality tukiamua kuondoka tunaondoka na tunakuachia laana ya kutokuja kumpata huyo mwanaume unayemuwaza.

NB. Kila anayelizwa na mapenzi leo, alishawahi kukutana na mtu sahihi akamchezea.
 
Uko sahihi kabisa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom