Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,079
- 1,567
Nipe namba yako tafadhaliNinasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.
Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteniπ₯²π’
yataje basiMakosa madogo tu mkuu
Kwanini? ππππ
Haya pole, na samahani binti πHunijui acha hizo mkuu
Ndo maana ake, hapo nkataka kujuzwa zaidi.Eti Sema kweli!as if umeshangaa for the first time
Kubabake!Em apia. πππ
πππππMweeee! Wee sii ulisema kuwa ni sista sasa mpenzi katokea wapi tena?
Kwaiyo Mbususu unaipiga kufuli RasmiNinasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.
Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteniπ₯²π’
KidumuKidumu chama Cha ma jobless pro max
πππππKubabake!
Kuna kipindi niliachwa nilijikuta naanza dozi ya juice ya bamia.. π
Mapenzi yamekaa kinafiki sana hapo unamkuta mwanangu Mshana Jr anabebika halafu huyu Binti Sayuni03 analia tu.
Mimi naye yamenitokea kama yako. Kwakuwa sote ni wahanga wa incidents zinazofanana, basi nakuomba tuanze fresh pamoja, you and I we become together as one. Unaona vipi Binti Sayuni03 I will cherish you, hatutaumizana Kwa hakika maana sote tu wahanga.Ninasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa kuomba msamaha kila siku kwa vitu vidogo ambavyo vinaongeleka, hapana.
Rasmi ninaachana na mapenzi kwa sasa, asanteniπ₯²π’
Nakazia,.Hapa bila VAR hatutoboi
Ukiwa hujaachwa akapita mtu analia kisa mapenzi unamuona kama vile amekosa kazi za kufanya ππππππ
Mbona hatariii sana, Lol
sasa unahitaji nini? nguruwe!?Sihitaji mtu kwasasa
Akiitwa bby tu yule kasahau alichoandika hukuNakazia,.
Tangazo limekaa kimkakati sanaπππ
Mkuu, huyu yupo na Depression punguza Absolution πsasa unahitaji nini? nguruwe!?