ulitegemea itambue mdundikoHio Shazam inatambua nyimbo za kizungu tu, nliifutilia mbalii
kila kitu ni ushindani sio kwasbb kuna insta au Facebook basi watu waache kutengeneza vitu kama hivyo
watu watengeneze ila wawe wabunifu zaidi kumbuka Facebook aliiona WhatsApp kama threat kwake na akaamua kuwafanya partners
kulikua na Skype
akaja imo n.k
wote wanatoa vitu vyenye kuendana
vipi BBM? wangemwacha pekeyake leo tungekuwa na WhatsApp?
cha msingi ni kutumia udhaifu wa aliyekutangulia kwa kuboresh zaidi hata kama umekopi na kupest kutoka kwake
vivyo hivyo utaona ligi ipo kwenye maswala ya antivirus
Sasa si kwa sababu tayari kuna hiyo facebook...
Hakuna kinachotamba zaidi ya ambacho tayari kilikuwepo.
Namaanisha tubuni cha tofauti.
Sasa si kwa sababu tayari kuna hiyo facebook...
Hakuna kinachotamba zaidi ya ambacho tayari kilikuwepo.
Namaanisha tubuni cha tofauti.
Mbona sasa watawala wanataka malaika waje waifunge nduguTeknolojia inalipa na itaendelea kulipa kwasababu kila aina ya biashara na huduma itafanywa kwa mfumo wa kompyuta.
Itafikia wakati ukitaka nyumba ya kupanga/kiwanja unaingia kwenye app fulani ili kutafuta nyumba ya kupanga/kiwanja.
Itafikia wakati biashara nyingi zitakuwa computerised.
Tuamke sasa.
Hapa napingana na wewe, japo kuna fb lakin haizuii kutengenezwa kingine kama fb!! nenda google andika "quora", huu ni mtanda unaofanana na fb japo madhumuni ni tofauti kidogo ila ulianzishwa na mtu aliyekua anafanyakazi fb na mpaka sasa umekua sana...Sasa si kwa sababu tayari kuna hiyo facebook...
Hakuna kinachotamba zaidi ya ambacho tayari kilikuwepo.
Namaanisha tubuni cha tofauti.
Hiyo ni bajeti ya wizara za magu mbili!!Yaan haka ka Shazam hela yote hiyo!!!?
Watu wapo wanaweza tengeneza apps nzuri, ila ishu ni kutoka na idea mpya kabisa, mfano huwezi tengeneza app inayofanya kazi kama Facebook, Whatsapp au Uber na ukataka watu waitumie. Ubunifu wa mawazo mapya ndio unakosekana.wanaweza ila njia wanazotumia kufanya app zao ziwe maarufu ndipo shida inapo anzia hii inachagizwa pia na watanzania walio wengi kutokupenda kusapoti kazi za nyumbani.
nitakupa mfano mwaka juzi kama sijakosea palitokea kijana wa UDOM alitengeneza kitu kama facebook na watu wakaonekana kuikubali ila mpaka sasa sijui aliishia wapi na siamini kama kuna mtanzania anaetembelea hiyo project ya jamaa.
Hapo ndio tunapofeli, wakati app ya Shazam inatambua miziki yote ikiwepo na ya bongo, wewe unatoa wazo la kuiga ubunifu wao lakini unaishia kutambua miziki ya bongo tu. Kuna kitabu kinaitwa Zero to One kimeandikwa na Peter Thiel (Library Genesis)Nadhan Kwa kutumia hyo application ya shazam ni wakati Kwa developers Wa bongo kutengeneza Shazam ya kibongo ambayo itakuwa inatambua nyimbo za kibongo,nani kaimba pamoja na lyrics zake.
Teknolojia inalipa na itaendelea kulipa kwasababu kila aina ya biashara na huduma itafanywa kwa mfumo wa kompyuta.
Itafikia wakati ukitaka nyumba ya kupanga/kiwanja unaingia kwenye app fulani ili kutafuta nyumba ya kupanga/kiwanja.
Itafikia wakati biashara nyingi zitakuwa computerised.
Tuamke sasa.
Unadhan elimu yetu ina viwango vya FIFAIvi IT wa bongo wanashindwa nini kutengeneza kitu wakapata mapesa kama wale jamaa wa whatsapp na hawa wa shazam??
Sasa quora si ina-stand out kivyake kwa sababu ya hizo features zake. Em fikiria tu kila app iliyo kubwa kama kuna nyingine ipo exactly hivyo hivyo na pia ni as popular as it is.Hapa napingana na wewe, japo kuna fb lakin haizuii kutengenezwa kingine kama fb!! nenda google andika "quora", huu ni mtanda unaofanana na fb japo madhumuni ni tofauti kidogo ila ulianzishwa na mtu aliyekua anafanyakazi fb na mpaka sasa umekua sana...
Daaah wenzetu wanaenda kasi kwe vitu vya maana sisi huku viongozi wa serikali wanafanya kuwanunua wapinzani cjui ndo matakwa ya wananchi
Vichaa unao kwenye ukoo wako pu..mba..vu ww kuna sehemu nimekuuliza kitu au ndo kuwashwa washwa tu?Ona huyu kichaa. Lazima ulete ujinga hata kwenye mada za maana. We una ushahidi gani na kama ni wapinzani why wanunuliwe. So Lowasa mlimnunua. Yani Pumbavu kuliko wote