Haitaleta TIJA yoyote ile kwa sababu umma haukushirikishwa vya kutosha kwenye suala hili. Public Participation ilihitajika sana kwenye mchakato wa kuanzisha suala hili kabla halijarasimishwa kama walivyofanya.
Kabla suala hili halijatangazwa na kuwa rasmi, ilipaswa ufanyike utafiti wa kina (Feasibility Study) kwa kuwashirikisha Wataalamu mbalimbali pamoja na umma wote kwa ujumla.