William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Mkuu Richard,
Hadithi ni ndefu na nzito sana, lakini pamoja na yote chanzo cha kufarakana kwa mgosi-Kibelloh na muungwana, wakati ule ilikuwa ni unafiki wa Mkapa, wakati mgosi akiwa na muungwana foreign, hayo ya London, ambayo ni mengi sana yalikuja baadaye sana,
Ndio maana sasa Lihanjo ni katibu wa muungwana, na in the end ni incompetence at best kwa uongozi wa taifa letu, yaani tunaokuja kulipa ni sisi wananchi!