Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 881
economic intelligence and espionage ....kwetu haitilkiwi mkazo......lazima tiss wajiulize wanaufanyia nini uchumi wa tanzania....hata jeshi siku hizi lina zalisha mali wakati wa amani....wao wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kufanya ujasusi wa kiuchumi....la kudhibiti ujasusi wa kiuchumi dhidi ya tanzania.........
Well this is another interesting point...na nadhani maybe we can have a break through hapa
lakini tatizo ni ma SPOILERS ambao ni visible na invisible ambao wako so determined not only RO anafeli lakini the whole institution au organ ya TISS inafeli.
Kwa taarifa yako ni kuwa tayari mipango ishafanywa na isipokuwa kulikuwa na obstacles along the way...mfano kulikuwa na proposal za kusaidia makampuni ya wazalendo lakini baada ya kufanyika vetting ikaonekana kuwa baadhi ya the so called WAZALENDO are nothing but a bunch of opportunistic lots ambao hawafai hata kuwasaidia in teh first place kwani wanaongoza kwa kudodge Tax, na pili wana sabotage kwakusudi sasa kuna haja gani ya kuwasidia watu au makampuni dizaini hii?
Kwa kuongeza tuu hii economic intelligence ambayo ingeinclude the makeup of our nation's economy, its vulnerabilities, and the natural resources within a nation's borders ingekuwa mbali kama si akina KITINE kuendekeza politics na wizi pasipo husika
Watawala wetu wangeacha kuplay politics for once na POST COLD WAR era TISS inge concentrate kwenye collection of intelligence concerning trade practices and negotiating positions in trade talks and so on
Lakini mimi I am more interested na Industrial Espionage ambayo kwa kifupi no the stealing of corporate plans or technologies -- is another matter, particularly na hasa ukizingatia kuwa means za hiyo espionage ni kufanya PLANTING au RECRUITING A SOURCE in a foreign company in contrast to relying on COMINT.
Zipo evidence kuonyesha kuwa makampuni ya KiJapan yamekuwa yakiengage kwenye Industrial espionage against foreign companies lakini mpaka sasa hakuna hata chembe ya evidence kuonyesha DIRECT Japanese government involvement in such activities na hivyo ndivyo tulitakiwa kufanya.
Kwa upande mwingine pia wa Faransa na DGSE yao wamekuwa waki conduct a a coordinated and extensive campaign ya kuiba industrial secrets na concentration yao ni makampuni ya KiaAmerica. Kama mtakumbuka wakati DGSE ilipokuwa inaongozwa na chief Pierre Marion, tena kwa maneno yake mwenyewe waliestablish 20-agent branch to acquire the secret technologies and marketing plans of private companies....mind you hiii kitu ilifanywa kwa kupata baraka za rais wa Ufanza enzi hizo bwana Mitterand na target yao haikuwa USA pekeyake bali DUNIA NZIMA!!!!
Enzi za Marion ile branch iliweza kupata information on COMPETING BIDS na ndio siri ya France kushinda ile MULTI BILLION DOLLAR CONTRACT kusupply zile jet fighters to India. Vile vile hawa jamaa waliiba American technology ambayo iliwawezesha kujenga computer ambayo of all names waliita DGSE. Mambo hayo ya wizi yaliendelea mpaka Marion alioondoka. Ohh how can we forget jinsi hawa waFaranda walivyo attempt kuinfiltrate European offices za IBM, Texas Instruments, and several other U.S. electronics companies end results? well ilikuwa ni kampuni ya computer ya serikali ya Compagnie des Machines Bull ambao ilikuwa Taabani ile mbaya.
Kama una contacts kwenye duru za Intelligence tafuta DSGE memorandum iliyotolewa in 91 inaitwa "DEST Collection Plan,"ambayo ilikuwa ina list intelligence requirements and related targets zao kule Marekani...you know whats the juicy part?
Victims wao among others walikuwa ni Boeing, Ford Aerospace, General Dynamics, Lockheed, Hughes Aircraft, Pratt and Whitney, Rockwell International, na jamaaa wa TRW -----kwa haraka haraka utaona hapo ni a "WHO's WHO" of American high-tech companies.
Na specific information ambazo zilikuwa targeted zilihusu activities of ongoing negotiations, marketing strategy, weapons sales to foreign countries, civilian technology (e.g., high-definition television enzi hizoooo) na large number of military technologies (kama vile military space launch vehicles, SDI technology na aircraft programs)
Kwa kuongezea tuuu ni kuwa hawa jamaa wa DGSE walikuwa wanatumia mbinu mbali mbali mojawapo ni kuintercept COMMS za makampuni kama IBM na kwa taarifa tuu ni kuwa per day in Paris alone huwa kuna 30 to40 break-ins zinakuwa conducted PER DAY kwenye mahoteli NA SHUGHULI NI KUCOPY DOCUMENTS zilizoachwa vyumbani na hawa intl business men na diplomats
Point yangu ni kuwa sisi hatushindwi kudominate kila kitu kuanzia DRC CONGO mpaka nchi za kusini...the question is nani kwanza asaidiwe on National Interest ilihali hao hao ndio wanaongoza ku sabotage Taifa letu tukufu?