Wakurugenzi wa TISS tangu uhuru mpaka sasa. Mzee Mzena ashikilia rekodi ya kuhudumu muda mrefu zaidi

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
2,161
5,505
1. Wa kwanza ni Mzee Emilio Mzena, huyu aliongoza mwaka 1961 hadi mwaka 1975. Ndiye Mkurugenzi wa TISS aliyeongoza idara hii kwa miaka mingi zaidi kuliko wengine (miaka 14).

Wengine ni kama ifuatavyo:
2. Dkt. Lawrence Gama: 1975-1978

3. Dkt Hassy Kitinr: 1978 - 1980

4. Dkt. Augustine Mahiga: 1980-1983

5. Luteni Jemerali Imran Kombe: 1983-1995

6. Kanali Apson Cornell Mwang'onda: 1995 - 2005

7. Othman Rashid: 2005 - 2016

8. Dkt. Modestus Kipilimba: 2016 - 2019

9. CP Rajabu Diwani: 2019 - 2023

10. Saidi Hussein Massoro: 2023 - 2023

11. Balozi Ali Siwa: 2023 - 2024

12. Suleiman Abubakar Mombo: 2024 - Hadi sasa

PIA SOMA
- Uteuzi: Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

- Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru
 
Kama mpaka Kariakoo wanaandamana, wao hawajui, its disastrous, kama mpaka Kariakoo kuna vitu wanalalamikia wao hawajui, its strange, kama mpaka Mkuu wa Wilaya ya Ubungo anakuwa embarrased na wao hawakumpa sauti ya ardhini, its a joke, kama vizimba Kariakoo vinagawiwa hovyo hovyo, mpaka watu wanaandamana, wao hawajui, sasa lipi watalijua!?
 
1. Wa kwanza ni Mzee Emilio Mzena, huyu aliongoza mwaka 1961 hadi mwaka 1975. Ndiye Mkurugenzi wa TISS aliyeongoza idara hii kwa miaka mingi zaidi kuliko wengine (miaka 14).

Kitine alipata PhD baada ya kutoka usalama wa taifa.

Kama sijakosea alikwenda kusoma Canada.

Pia alikuwa na cheo cha Major wa JWTZ wakati anateuliwa ktk nafasi hiyo.
 
Kama mpaka Kariakoo wanaandamana, wao hawajui, its disastrous, kama mpaka Kariakoo kuna vitu wanalalamikia wao hawajui, its strange, kama mpaka Mkuu wa Wilaya ya Ubungo anakuwa embarrased na wao hawakumpa sauti ya ardhini, its a joke, kama vizimba Kariakoo vinagawiwa hovyo hovyo, mpaka watu wanaandamana, wao hawajui, sasa lipi watalijua!?
Wako busy na uchaguz, tiss will never be the same after 2015
 
Back
Top Bottom