Rashid Matumla Agongwa KO Ujerumani

Rashid Matumla Agongwa KO Ujerumani

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,931
Reaction score
5,350
Nadhani imefika wakati huu jamaa kuachana na ulingo na kujikita ktk mchezo huo kwa nadharia nyingine. Umri umemtupa mkono 'jioni ishaingia' kama watoto wa mjini tusemavyo.. Othwz njaa itamtoa koromeo siku 1

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huyu si alitundika groves!! Kipigo cha kujitakia
 
bro ndondi waachie wengine wewe naona mmmhhhhh...... game huiwezi tena kila kitu knakuwaga na muda man
 
Alikuwa busy anaoa ...teh teh teh...sasa amezeeka anataka kufia ulingoni akitafuta riziki
 
Huyu Bondia na yule aliyemuandalia pambano hilo wote akili zao ni expired
 
Hayo ndo madhara ya kutafuta ada ya watoto ulingoni(kwenye masumbwi)
 
rashidi.JPG

Bondia mwenyewe alivyojitokea, Huyu anatafuta kifo njaa mbaya sana
 
Nadhani imefika wakati huu jamaa kuachana na ulingo na kujikita ktk mchezo huo kwa nadharia nyingine. Umri umemtupa mkono 'jioni ishaingia' kama watoto wa mjini tusemavyo.. Othwz njaa itamtoa koromeo siku 1

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kweli kabisa huyu jamaa akubali matokeo, awaachie vijana purukshani hizo
 
Back
Top Bottom