Eti walinitumia kapicha kuwa ni huyu jamaa kumbe sio
Aisee hata mimi wakati hii kitu ukiipiga na maganda ya nyanya au mayai inaumia kabisa mpaka damu zinatoka nyingi tu
Huyo mbona anaonekana ni mrembo tu
Ni sahihi lakini bado ni nyoronyoro mno
Kwa muonekano kwa field imethibitika ni sniper
Yawezekana alionesha uwezo wa "ku-mark" akiwa kwenye recruit level so wakaona kwa muonekano wake laini (unaomficha) anaweza kuishi miongoni mwa jamii bila kuhisiwa. . . . au muonekano ndio ulimfanya awe trained na kupata uwezo wa ku mark. . . .
Ila huyo rashid halisi ni noma...sidga imekomaa kwa paji la uso si mchezo...haya bana watu na kupigania mabikra 70 peponi
Yawezekana alionesha uwezo wa "ku-mark" akiwa kwenye recruit level so wakaona kwa muonekano wake laini (unaomficha) anaweza kuishi miongoni mwa jamii bila kuhisiwa. . . . au muonekano ndio ulimfanya awe trained na kupata uwezo wa ku mark. . . .
Sikuwahi kufikiri unaweza kuwa na sura nzuri laini na ukawa na chuki moyoni. Siku zote huwa naamini chuki uliyojaza moyoni inahatibu sura. Leo nimebadili mawazo
Wenye sura laini ni hatari kwenye kila kitu kibaya, wanajificha nyuma ya muonekano bila kugunduliwa kirahisi.
Mfano wanaouawa na kukamatwa kwa ujambazi Arusha wengi wakionyeshwa ni poda tupu, wanaotapeli mabinti na kuwaacha wakiwa hawana simu, wala hawajui walipoamka na hata ujambazi wa kutumia peni
Ni noma sababu ana sijda??!!!