OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Ndio ndio
Sawa sawa. .
Ndio ndio
Eti walinitumia kapicha kuwa ni huyu jamaa kumbe sio
Sawa sawa. .
Penye Kweli mkuu unakuwaga soft kweli hadi nakuonea Huruma! Sawa Sawa!
Itakuwa mafunzo ya awali alipatiwa hapa tz na magaidi wa uamsho"
Sikuwahi kufikiri unaweza kuwa na sura nzuri laini na ukawa na chuki moyoni. Siku zote huwa naamini chuki uliyojaza moyoni inahatibu sura. Leo nimebadili mawazo
Kwa muonekano kwa field imethibitika ni sniper
Wenye sigda halisi hawauwi watu. Yeye alikuwa anasugua kwa jiwe kuonesha namjua amwabudie lakini kumbe fix tuuIla huyo rashid halisi ni noma...sidga imekomaa kwa paji la uso si mchezo...haya bana watu na kupigania mabikra 70 peponi
Yani nawe unasadiki dogo ni "noma" sababu ana sijda. . . . . . . .ulitaka niendelee kujadiliana na mtu "anayeamini" . . . . .kuwa "linaloonekana ndilo". . .?!!?
Mtu anayeelekea kutojua umuhimu wa positivism na realism kwa umoja wao we kakomaa na positivism tu. . . . .kama huo ndio upole yeah i am ila kunionea huruma hapo sasa nawe unaingia kundi lake. . .
Wenye sigda halisi hawauwi watu. Yeye alikuwa anasugua kwa jiwe kuonesha namjua amwabudie lakini kumbe fix tuu
"Deception by look". . . . . . . . .chuki, stone heartedness, heartlessness inaweza haribu gaze not sura my dada mtu anaweza kukuchekea ukafurahia meno na lugha laini ukanasa. . . . . .Gaze has it all ndio maana shades zinahusika saaaaanaaaa wakati wa "ill motive". . . . . .
Naomba niendelee kukuheshimu mkuu olesaidimu.. hivi hakuna namna yoyote ya 'kujitutumua' ujuaji pasi kubeza wengine?
Jamaa kukwambia tu anakuonea huruma ukarudi speed kuni attack ili kujustify 'umwamba' wako..hivi umeelewaje labda niliposema anaonekana ni noma coz ya sigda?..
Hivi kama umenibeza mimi na kumjibu jamaa kuwa 'ulitaka niendelee kujadiliana na mtu anayeamini.....' je ungekatika miguu km ungembeza na huyo aliyekuonea huruma??au uliona ukikaa kimya kwa hilo pia ungeugua?..
Iselamagazi. Mkuu kuna vitu naviona hapa....wahenga walipoweka wazi kuwa kuchamba kwingi..... ...na ni vyema kila kitu kiwe na kipimo chake..kuongea kuwe na kipimo,kusikiliza kuwe na kipimo hali kadhalika na ujuaji nao uwe na kipimo....ukizidisha ujuaji matokeo yake utamix madesa,ujuaji wa kwenye kuchunga ng'ombe ukauleta na kutaka kuutumia kwenye kulima lazima kutakuwa na mushkeli tu sehemu..Mkuu, Huyo Mmasai anakuwaga mtata sana! Baada ya kuacha kuvaa mashuka ya rangi nyekundu na kuacha kushika rungu mkononi anajiona mjanja kweli Kweli!
Nilishangaa Jana alikuwa mwepesi sana .
Naomba niendelee kukuheshimu mkuu olesaidimu.. hivi hakuna namna yoyote ya 'kujitutumua' ujuaji pasi kubeza wengine?
Jamaa kukwambia tu anakuonea huruma ukarudi speed kuni attack ili kujustify 'umwamba' wako..hivi umeelewaje labda niliposema anaonekana ni noma coz ya sigda?..
Hivi kama umenibeza mimi na kumjibu jamaa kuwa 'ulitaka niendelee kujadiliana na mtu anayeamini.....' je ungekatika miguu km ungembeza na huyo aliyekuonea huruma??au uliona ukikaa kimya kwa hilo pia ungeugua?..
Iselamagazi. Mkuu kuna vitu naviona hapa....wahenga walipoweka wazi kuwa kuchamba kwingi..... ...na ni vyema kila kitu kiwe na kipimo chake..kuongea kuwe na kipimo,kusikiliza kuwe na kipimo hali kadhalika na ujuaji nao uwe na kipimo....ukizidisha ujuaji matokeo yake utamix madesa,ujuaji wa kwenye kuchunga ng'ombe ukauleta na kutaka kuutumia kwenye kulima lazima kutakuwa na mushkeli tu sehemu..
Nadhani nimetoa 'cash' bila installments...
Mkuu, Huyo Mmasai anakuwaga mtata sana! Baada ya kuacha kuvaa mashuka ya rangi nyekundu na kuacha kushika rungu mkononi anajiona mjanja kweli Kweli!
Nilishangaa Jana alikuwa mwepesi sana .