Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,031
ukumbusho mzuri kweli asante sana japo asilimia kubwa wengine bado tulikuwa hatuja ingia duniani!!
lol........
ukumbusho mzuri kweli asante sana japo asilimia kubwa wengine bado tulikuwa hatuja ingia duniani!!
Na kipaji kumzidi Nonda Shaban.Shukrani!
Jina la utani la James Tungaraza lilikuwa ni Boli Zozo!
Una hoja,je kama alibadili katikati ya njia?tutafutie picha ya DC wa igunga alivyokuwa anaapishwa na mkuu wa mkoa alishika kitabu gani biblia au quran itatusaidia leo kumaliza mzozo imani ya DC huyu ipo wapi?
sio zamani sana lakini kwa hakika mabadiliko ni makubwa mpaka sasa!Najua nitawakuna wengi sana kwa hii picha. Hii ndiyo Yanga iliyobatizwa jina la 'Umoja wa Mataifa'. Wazee hawa wangekuwa na marupurupu wanayopata wachezaji wa siku hizi wangefanya maajabu.
Kuanzia kulia kwenda kushoto ni:
Aboubakar Salum 'Sure Boy', John Alex, Thomas Kipese, Justine Mtekere, Said Sued 'Scud', nadhani ni mtoto wa Marehemu Abbas Gulamali, Said Zimbwe, Sanifu Lazaro, Salum Kabunda, Joseph Machela, Godwin Aswile, Athuman China, Issa Athumani, kipa msaidizi Sahau Kambi, kipa Steven Nemes na captain Keneth Mkapa.
ngoja nikapekue kwenye makabrasha alafu nitakupa taarifa.wakuu mwenye picha za kikosi cha yanga kilichotwaa kombe la cecafa mwaka 1993 pale Uganda atuwekee humu tuzione
wewe wa kizazi kipya kumbe....kizaazi cha kufaceb00kKuna watu wazamani humu?
Kuna watu wazamani humu?