Rare Pictures From My Personal Album!

at last kaka, asante...nimezipenda vipi naweza kukopi na kuanzishia thread??

Hamna tatizo, nitazipunguza hizi picha baadaye, hapa nipo kwenye mtandao mwingine ndiyo nimegundua kweli ni ngumu kufunguka. Enjoy, hopefully mwakani nitaweza kuweka nyingine.
 
You are right my dear,picha nyingi hapa ni enzi hizoooo. Hizo picha za msiba wa Nyerere ndio nazikumbuka maana hapo nilikuwa atleast mkubwa, nilikuwa form 1.

Kumbe PRETTY wewe bado unanukia maziwa ya mama
 
Nadhani hizi zitatosha kuwavusha mwaka, tutaonana 2010, inshallah Mungu akipenda.

Duh!!! Mkuu umenikumbusha mbali sana. Enzi hizo wachezaji walikuwa wakichezea timu kwa mapenzi na sio pesa kama ilivyo sasa. Hiyo yanga ya 1993 mie nilikuwa standard seven pale mpakani primary, manzese, nlikuwa mshabiki wa yanga damu. Katika vitu ambavyo siwezi kusahau ni ule mwaka simba ilotufunga bao 3 kwa 1, ilikuwa mwaka 1992, ilikuwa ile simba ya akina madaraka selemani, wenyewe wanamuita mzee wa kiminyio, edward chumila na zamoyoni mogera almaarufu kama golden boy. Mzee siku ile nililia kama mtoto mdogo.
Kama kuna mdau ana ule wimbo wa pepe kalle uitwao yanga afrika, umoja wa mataifa auweke hapa tujikumbushe mambo yalivyokuwa wakati ule.

Ukumbusho mzuri kweli asante sana japo asilimia kubwa wengine bado tulikuwa hatuja ingia duniani!!

You are right my dear,picha nyingi hapa ni enzi hizoooo. Hizo picha za msiba wa Nyerere ndio nazikumbuka maana hapo nilikuwa atleast mkubwa, nilikuwa form 1.

Maria roza na mwenzio pretty naomba mniamkie, ni wadogo sana kwangu.

Burudikeni na wimbo huu
 
Last edited by a moderator:
You are right my dear,picha nyingi hapa ni enzi hizoooo. Hizo picha za msiba wa Nyerere ndio nazikumbuka maana hapo nilikuwa atleast mkubwa, nilikuwa form 1.

mmmh kumbe na wewe wa zamani hivi..
 
tutafutie picha ya DC wa igunga alivyokuwa anaapishwa na mkuu wa mkoa alishika kitabu gani biblia au quran itatusaidia leo kumaliza mzozo imani ya DC huyu ipo wapi?
 
Back
Top Bottom