Rare Pictures From My Personal Album! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rare Pictures From My Personal Album!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Keynez, Dec 29, 2009.

 1. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Ok, I've been going through my 'makabrasha' and I found some few things I'd like to share with the world. Give me few hours as I'm still scanning them, trust me you won't be dissapointed.

  Happy New Year.
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  nothing to display yet (its been hours)
   
 3. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Just have a little patience, it's been what, 5 minutes? Not hours, come on man.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Dec 29, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Almost three hours but nothing!!!!!
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  ??? - 2h30min already gone - Scanner mbofu mbofu?
   
 6. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Kuna watu hawakuna na subira naona....anyway, kwa sasa naona ni hizi ninazoweza kuziweka hapa.
   
 7. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Hii ni siku mwili mwa Mwalimu Nyerere ulipofika Dar kutoka London, wananchi wakiwa wamejipanga barabarani, tarehe ni October 18, 1999.


  [​IMG]  [​IMG]
   
 8. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Hili ni zao la 'experiment' ya Katibu Mkuu wa Yanga wakati ule George Mpondela, baadhi ya wachezaji hawa walitokea timu ya vijana wadogo ya Yanga, wengine kama Salvatory Edward alitokea moja mwa moja shule ya sekondari ya Kibasila.

  Waliosimama kutoka kushoto ni:
  Anwar Awath, Mzee Abdallah, Sylvantus Ibrahim, Mahmoud Nyalusi, Salvatory Edward na Peter Louis.

  Waliochuchumaa kutoka kushoto ni:
  James Tungaraza, Mohammed Hussein, Reuben Mgaza, Vincent Peter na Ally Yusuph 'Tigana'.


  [​IMG]
   
 9. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Hii tena ni Yanga, mechi ilikuwa kati ya Yanga na Cadet Club ya Mauritius katika kombe lililokuwa linaitwa 'Africa Cup of Winner Cup', mwaka sikumbuki. Yanga tulishinda 3-1, magoli yaliyofungwa na Mohammed Hussein (goli 1,3) na James Tungaraza (goli la 2). Unaweza kuamini nimekumbana na tiketi ya mechi hii katika takataka zangu?

  Waliosimama kutoka kushoto ni:
  Team Manager Nurdin Ally, Mahmoud Nyalusi, Keneth Mkapa, Reuben Mgaza, Sylvatus Ibrahim, Ismail Issa, Mathias Mulumba, Vincent Peter, Sadiq Kalokola, Kocha Mkuu Mkongo Tambwe Leya (kwa wasiomfahamu inabidi mtafute historia yake na soka la Tanzania), na kocha msaidizi Mrundi Nzoyisaba Tauzany.

  Waliochuchumaa kutoka kushoto ni:
  Maalim Saleh, James Tungaraza, Ally Yusuph Tigana', Anwar Awath, Mzee Abdallah, Mohammed Hussein na Bakari Malima.  [​IMG]
   
 10. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Yanga vs. Vaal Professional ya South Africa Uwanja wa Taifa, mwaka sikumbuki. Yanga walishinda 2-1, magoli yaliyofungwa na Benny Luoga na Mohammed Hussein. Wanaomkumbuka Mcongo, Nonda Shaaban, aliyekuja kwenda kucheza kwa mafanikio makubwa huko France ni huyo wa pili kushoto anayefunga viatu (ameishia wapi siku hizi?). Hii timu tena ilikuwa inaundwa na vijana wadogo ukiacha wachezaji wachache sana waliokuwa na uzoefu, mfano Mohammed Hussein.

  Kwenye picha kutoka kushoto ni: Anwar Awadh, Nonda Shaaban, Benny Luoga (anayeruka), Sylvatus Ibrahim, Mohammed Hussein (sura imeziba), Maalim Saleh, Kaunda Mwakitope (mkono usoni), kipa Mahmoud Nyalusi, Mzee Abdallah (anafunga kamba za bukta), Peter Louis na Ismail Issa (anayeelekea kuinama).


  [​IMG]
   
 11. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Yanga ya msimu wa 1994.


  Kutoka kushoto ni:
  Joshua Kilale, Ally Yusuph 'Tigana', Willy Mtendawema, Fomu Felician, Keneth Mkapa, James Tungaraza, Suleiman Mkati, Said Mwamba 'Kizota' na Steven Nemes.

  Waliochuchumaa kutoka kushoto ni:
  Willy Martin, Mohammed Hussein, Nico Bambaga, Jose Ayoub, Sanifu Lazaro, Edibily Lunyamila na Sekilojo Chambua.


  [​IMG]
   
 12. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Yanga tena, hii ni uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza wakati wa mashindano ya club za afrika mashariki na kati, mwaka 1995.

  Waliosimama kutoka kushoto ni:
  Mahmoud Nyalusi, Reuben Mgaza, Nonda Shaaban, Sylvatus Ibrahim, Ally Yusuph 'Tigana', Mcongo Sammy Bitumba Iyela, James Tungaraza na Sadiq Kalokola.

  Waliochuchumaa kutoka kushoto ni:
  Mzee Abdallah, Bakari Malima, Steven Nyenge, David Mjanja, Mohammed Hussein, Salvatory Edward na Benny Luoga.


  [​IMG]
   
 13. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Najua nitawakuna wengi sana kwa hii picha. Hii ndiyo Yanga iliyobatizwa jina la 'Umoja wa Mataifa'. Wazee hawa wangekuwa na marupurupu wanayopata wachezaji wa siku hizi wangefanya maajabu.

  Kuanzia kulia kwenda kushoto ni:
  Aboubakar Salum 'Sure Boy', John Alex, Thomas Kipese, Justine Mtekere, Said Sued 'Scud', nadhani ni mtoto wa Marehemu Abbas Gulamali, Said Zimbwe, Sanifu Lazaro, Salum Kabunda, Joseph Machela, Godwin Aswile, Athuman China, Issa Athumani, kipa msaidizi Sahau Kambi, kipa Steven Nemes na captain Keneth Mkapa.


  [​IMG]
   
 14. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Mtu kapigwa bao hapo. Yanga vs Simba mwaka 1993, uwanja wa taifa. Yanga walishinda 2-1. Magoli ya Yanga yalifungwa na Said Mwamba 'Kizota' na la Simba lilifungwa na Edward Chumila.

  Katika picha ni:
  Issa Athumani (10), Mtwa Kihwelu (15), Suleiman Mkati, Said Mwamba (14), Edibily Lunyamila (7), Method Mogella (anayeonekana sura tu), Keneth Mkapa (3) na kulia kabisa ndiyo Zamoyoni Mogella (nadhani Zamoyoni ndiyo alikuwa ametokea Simba, enzi hizo ni big deal ku-cross over katika timu mbili hizo).


  [​IMG]
   
 15. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Nadhani hizi zitatosha kuwavusha mwaka, tutaonana 2010, inshallah Mungu akipenda.
   
 16. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kwanza nianze kwa kukushukuru kutuwekea ukumbusho wa picha mbalimbali.

  Pili, nashauri kama unaweza uziweke picha zote original katika file moja la zip na kupost hapa. Itafaa kama utaweka maelezo kama ulivyojitahidi hapo juu kwenye file la text na kuzip pamoja na picha. Kingine ni kwamba, size ya picha ni kubwa sana (jambo ambalo ni zuri), ila namna ya kuziangalia hapa jukwaani ni shida.. kama inawezekana ungeziweka zote katika size moja na kutubandikia... (najua quality inaweza kufifia lakini sidhani kama itakuwa kubwa kiasi cha kutoweza kuvumilika, na kama original zinakuwepo kwenye zip, basi hilo wala halitajalisha kabisa).

  SteveD.
   
 17. Keynez

  Keynez JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 640
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80

  Ok hamna tatizo, nitaifanya hiyo kazi kesho nikipata nafasi, nilijua picha zimekuwa kubwa lakini nilikuwa nataka kumalizana tu na ile shughuli niendelee na mambo mengine.
   
 18. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Ukumbusho mzuri kweli asante sana japo asilimia kubwa wengine bado tulikuwa hatuja ingia duniani!!
   
 19. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  You are right my dear,picha nyingi hapa ni enzi hizoooo. Hizo picha za msiba wa Nyerere ndio nazikumbuka maana hapo nilikuwa atleast mkubwa, nilikuwa form 1.
   
 20. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #20
  Dec 30, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  at last kaka, asante...nimezipenda vipi naweza kukopi na kuanzishia thread??
   
Loading...