Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,243
Hivi rangi za nguo za ndani zina tija yoyote kwenye mahusiano? Wewe kuna rangi mwenzio akivaa inakufurahisha au kukukera, ipi unaipenda sana, unadhani rangi hizo zinamaanisha chochote. Kwa mfano nguo ya rangi nyeusi ina tofauti gani na nyekundu kama mpenzi wako akivaa?