Nilidhani ni mimi nimepitwa na wakati, kwakweli huwa sina muda wa kuwaza ujinga hata chembe, na kuna watu nimeshawajurisha wasijekunitumia hizi forwad msg zao, na hii tabia inaelekea kuwa sugu na itawacost sana Wanawake.
One day nilikuwa nampigia simu my Gal, lakini ikawa haipokelewi nikaamuwa kumtumia Text msg it was very ugently, msg sikujibiwa na next day nikamuuliza why hakuresponse msg yangu jibu lake eti hakupokea msg toka kwangu, kwa hasira nilizokuwa nazo kwa mara ya kwanza niliomba simu yake, nilipoingia upande wa msg ndio nikakuta hayo mafoward msg ya kipunguani yamejaab top na simu haiwezi kupokea msg nyingine mpaka uzifute baadhi ili kuwe na space.
What i deed nimeyafuta hayo mameseji yote ya kijinga na i warned her, sihitaji the type ya Mwanamke ambaye kama mkaanga pilipili tu ambaye badala ya kumuona anasoma novel umkute na magazeti ya Shigongo.