Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 861
- 3,239
- Thread starter
- #1,181
Namna sahihi ya kukunja ringi za nguzo/mkanda
Tuelezee kitaalam why ya kushoto is better than the one on the rightNamna sahihi ya kukunja ringi za nguzo/mkandaView attachment 3344351
Sijajua roof plan yako jinsi ilivyo, lakini hapo ni zaidi ya bati 140 kwa bati za futi kumi kumiMkuu nyumba ya room 3 ukubwa 12 kwa 14 inaweza kula mabat meters ngap
Ungeweka namba ya simu ingependeza mkuu.Nawaza kujenga naamini utakuwa msaada wangu wa karibuPLN 0001 2BR
Ramani ya Vyumba Viwili
Ramani hii ina privacy na ventilation ya hali ya juu sana
- Living room (Sebule)
- 1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C)
- 1 Single bedroom
- Kitchen (Jiko)
- Public toilet (Choo cha jumuiya)
Bei: Tsh. 100,000/=
Ramani inakuwa na Makadirio yake ya vifaa vya ujenzi kuanzia hatua ya msingi mpaka finishing ambapo itakusaidia kukuongoza katika manunuzi ya vifaa na kuepuka kulanguliwa na mafundi wenye tamaa ya kukuzidishia hesabu ili wajinufaishe zaidi.
View attachment 2694970
(sifuri)624068809 karibu ndgUngeweka namba ya simu ingependeza mkuu.Nawaza kujenga naamini utakuwa msaada wangu wa karibu
Asante(sifuri)624068809 karibu ndg
Sahihi kabisaPia ni muhimu kalo la choo kama nyumba ipo bondeni yan siyo kilimani kwenye kujenga ni muhimu likatoka juu hata nusu futi ili kama kutakuwa na maji ya mvua yasiweze kuingia kwenye kalo ilo la choo
Ramani wachora bei gani?(sifuri)624068809 karibu ndg
Mlango wa chumba kawaida ni sentimita 90 sawa na around futi 3Hivi ni standard ya milango kwenye nyumba ni ngapi? Kwa mfano mlango wa 110 unafaa kuwa mlango wa kuingilia?
Mkuu bado hujapataga ramani mpaka leo? Bei inategemea na aina ya ramani mkuu. Tuwasiliane tu, hatuwezi kushindwanaRamani wachora bei gani?
Sawa mkuu na kibali cha ujenzi unaweza nitafutia?Mkuu bado hujapataga ramani mpaka leo? Bei inategemea na aina ya ramani mkuu. Tuwasiliane tu, hatuwezi kushindwana
Yaani mie nimeacha 100cm milango ya vyumbani na 110 mlango mkubwaMlango wa chumba kawaida ni sentimita 90 sawa na around futi 3
Mlango wa kuingilia sebleni kawaida ni sentimita 120 sawa na around futi 4 (huu wa sebleni unakuwaga ni double door)
Ramani nimawacheki wataalam wananiambia eti 1.5m wengine hadi 2.7 mil sasa kweli watanzania wa kawaida tutaweza wapiMkuu bado hujapataga ramani mpaka leo? Bei inategemea na aina ya ramani mkuu. Tuwasiliane tu, hatuwezi kushindwana
Ni sawa pia, ni bora vipimo vikazidi kuliko kupungua.Yaani mie nimeacha 100cm milango ya vyumbani na 110 mlango mkubwa