Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 861
- 3,238
- Thread starter
- #1,201
Aisee!! Ni nyumba ya ghorofa ama nyumba ya kawaida?Ramani nimawacheki wataalam wananiambia eti 1.5m wengine hadi 2.7 mil sasa kweli watanzania wa kawaida tutaweza wapi
Aisee!! Ni nyumba ya ghorofa ama nyumba ya kawaida?Ramani nimawacheki wataalam wananiambia eti 1.5m wengine hadi 2.7 mil sasa kweli watanzania wa kawaida tutaweza wapi
Ghorofa sio mali ya watu wote broo 🤣🤣🤣🤣Aisee!! Ni nyumba ya ghorofa ama nyumba ya kawaida?
Hapana usiseme hivyo, wewe weka tu nadhiri na umuombe Mungu, yeye ndiye anayejua kesho zetu zipoje na kwake hakuna kinachoshindikana pale anapoamua kitu kiwe, kinakuwaGhorofa sio mali ya watu wote broo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vi apartment vya 2 bedroom vi2 na kimoja 1 bedroom is vyumba vyote self
Ah ndio hivyo wanasema oh sijui unspata ramsni zote ...sasa sijui ndio mmie sielewi haya mamboHapana usiseme hivyo, wewe weka tu nadhiri na umuombe Mungu, yeye ndiye anayejua kesho zetu zipoje na kwake hakuna kinachoshindikana pale anapoamua kitu kiwe, kinakuwa
Inawezekana hiyo bei ikawa ni pamoja na kujenga boma (labda), maana katika hali ya kawaida huwezi ukamchaji mtu pesa nyingi kiasi hicho, haiendani kabisa na aina ya jengo unalotaka kujenga
Hapo kwa kweli sikushauri ndg yangu, japo kila mmoja ana rate zake lakini sio kwa bei hizo walizokutajiaAh ndio hivyo wanasema oh sijui unspata ramsni zote ...sasa sijui ndio mmie sielewi haya mambo
Bora useme weweHapo kwa kweli sikushauri ndg yangu, japo kila mmoja ana rate zake lakini sio kwa bei hizo walizokutajia
Kwa kweli sina uzoefu nayo mkuu, huwa nayasikia tu...na kupata feedback ni mpaka umpate mtu ambaye ameshayatumia miaka kadhaa nyuma japo pia ubora unaweza ukabadilika siku za mbeleni mana kila batch huwa ina material (malighafi) yakeMkuu hii kampuni ya Ando unaizungumziaje kwenye Bati zake
Kwaiyo bora tu turuke na ALAFKwa kweli sina uzoefu nayo mkuu, huwa nayasikia tu...na kupata feedback ni mpaka umpate mtu ambaye ameshayatumia miaka kadhaa nyuma japo pia ubora unaweza ukabadilika siku za mbeleni mana kila batch huwa ina material (malighafi) yake
Kama mfuko unaruhusu itakuwa vizuri zaidi kufanya hivyoKwaiyo bora tu turuke na ALAF
nimeona G30 wanauza 38k bati la futi 10 sio bei sana mbonaKama mfuko unaruhusu itakuwa vizuri zaidi kufanya hivyo
Yah inawezekana, Alaf wana aina nyingi za bati.... Mara nyingi bei zake huwa ni kwa kipimo cha mita mfano Tsh 19,500/running meter kwa hivyo kama unataka bati la mita 4 mfano, unazidisha Tsh 19,500 kwa 4m kupata bei ya pc 1 ya huo urefunimeona G30 wanauza 38k bati la futi 10 sio bei sana mbona
Hivi ili kutavziwe na level moja inatakiwa itaftiwe hatua gani iyo levelHakikisha unatafuta mtaalam wa masuala ya ujenzi kila baada ya hatua flani ili kubaini kama kuna makerekebisho ya kufanya kabla ya hatua inayofuata kufanyika.
Sio kila fundi anaweza kuficha makosa ya fundi aliyetangulia mfano fundi kupaua akikuta kuta zako hazina level moja anaweza akapaua tu hivyo hivyo kwa kufuata hizo kuta na hatimae paa nalo linainama.
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Mara nyingi level huwa inatafutiwa wakati wa kufunga box la mkanda lakini pia unaweza ukatafuta level kozi mbili kabla ya kufikia hatua ya mkanda.Hivi ili kutavziwe na level moja inatakiwa itaftiwe hatua gani iyo level