Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 864
- 3,247
- Thread starter
- #1,481
Hata kama una kiwanja kidogo, tuwasiliane nikutengenezee plan kulingana na ukubwa wa kiwanja chako.
Kuna ubaya ukipunguza kipenyo cha mbao za dari ya kibarazani kiasi cha mtu kuweza kupenya?.Kama hujaweka slab juu ya kibaraza, tafuta wire mesh au BRC upigilie juu ya mbao za dari. Kama mwizi akitoboa gympsum board, akutane na kizuizi kingine. Pigilia misumari ya kutosha
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Hakuna ubaya, unaweza ukapigilia square draft ya futi moja kwa futi 1 center to center lakini kwa uhakika zaidi kama mfuko unaruhusu mwaga zege tu. Mtu akishadhamiria kutekeleza nia yake, ni ngumu kumzuia.Kuna ubaya ukipunguza kipenyo cha mbao za dari ya kibarazani kiasi cha mtu kuweza kupenya?.