Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Kama tetesi zinazotembea taratibu zina ukweli utakuwa ni mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuleta matumaini katika wizara hii nyeti.. kwanza kwa sababu amejithibitisha kuwa ana uwezo, ni jasiri, na yuko tayari kuchukua maamuzi magumu. Pingamizi kubwa ni kutoka kona fulani fulani ambazo zinaona kuwa Bw. RR amekuwa anti-govt or anti-CCM. Watetezi wake wanadokeza kuwa kama mambo anayosema (kupitia taasisi zake) yana ukweli na ana mawazo ya kuboresha elimu.. give it to him...
BIO YA RAKESH KWA UFUPI
Kwangu mimi.. namuunga mkono na miguu!!!
What do you think?
Sounds interesting. But who can dare to do that in CCM. Remember we have said it many times and we say it again that, to these guys, 'capacity and being able' to deliver is a disqualification. If JK appoints RR, he will be signaling the unthinkable that he intends to do things differently and in a better way. But the unnecessary change of speaker does not make me believe that this can happen! It's a nice dream and is likely to remain so!

RR is not only a brain but also a force, tangu akiwa Mwanza na The Right to Play, akaja Haki Elimu na sasa Twaweza, amekuwa mwiba mchungu kwa serikali katika tasnia ya elimu, kama kuna ukweli wowote, utathibitika Jumanne baada ya kulifichua jina na PM, Majina ya wateule wake kumi yatapelekwa bungeni, na miongoni likiwemo RR huo utakuwa ni ukweli na kama ni kweli, JK atakuwa amefanya mapinduzi makubwa kwa maendeleo ya taifa.