Elections 2010 Rakesh Rajani Kuukwaa Uwaziri? Elimu..?

Ama kweli watu hatujaijua CCM. Yaani JK amchague Rakhesh wa HakiElimu kuwa waziri? Hao waliopo kwenye msusuru wakisubiri fadhila atawaweka wapi hadi amteu huyu wa kuja. Kwa CCM uongozi ni zawadi, sio utumishi. Na kwao mafanikio ni kupata nafasi ya uongozi sio fursa ya kutekeleza falsafa na ajenda. Msijidanganye hakuna kitu kama hicho. There will be no surprises in the next cabinet-same figures, same huge and extravagant government, same incompetence, same everything. They may change figures here and there but not their principles of governing. And they will choose their fellow kadas. Ukada is the most important factor to be part of the administration in CCM, and RR lacks this qualification big time! Endeleeni kuota.
 
Ni mbunge wa wapi?
Kama si mbunge, ina maana katiba yetu ilishafanyiwa marekebisho waziri kutokuwa mbunge? Au ni mmojawapo wa wale 10 wa kuteuliwa na Rais? Ni swali tu maana sina kumbukumbu kama katiba ilishafanyiwa marekebisho hayo.


Viti maalum 10 za JK.
 
Kama tetesi zinazotembea taratibu zina ukweli utakuwa ni mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuleta matumaini katika wizara hii nyeti.. kwanza kwa sababu amejithibitisha kuwa ana uwezo, ni jasiri, na yuko tayari kuchukua maamuzi magumu. Pingamizi kubwa ni kutoka kona fulani fulani ambazo zinaona kuwa Bw. RR amekuwa anti-govt or anti-CCM. Watetezi wake wanadokeza kuwa kama mambo anayosema (kupitia taasisi zake) yana ukweli na ana mawazo ya kuboresha elimu.. give it to him...

BIO YA RAKESH KWA UFUPI


Kwangu mimi.. namuunga mkono na miguu!!!


What do you think?

Mkuu
Mimi naamini RR anafaa sana, based on his performances anafaa; kitu ninachokiona ni mfumo; mfumo wa serikali ya CCM ni mbove sana, naungana na ACID kuwa wamechakachua mfumo kiasi kwamaba hawajua wafanye nini kurekebisha!!!

Si kweli kwamba ktk CCM hakuna watu watendaji wazuri, wapo tena wengu tu, tatizo lililopo when they are succumbed by the system, wananchangamana na samaki waliooza, wanowadumaza wasiperform, kwa kisingizio uki-perform you are anti-government!!!:doh:
 
Unajua JK ana vichwa vingi sana vya kumnyooshea mambo ila huwa havitumii.
RR nshawai fanya nae kazi yuko smart sana ila kwa JK ni mwiba
 
I would like to challenge your thinking kaka on two fronts. 1) When you say that for our President, he disqualify people who are able to deliver--you are being overly mshabiki. I think Kikwete love this country, despite of his incompetence, and it is a lie kwamba they guy, purposely choose folks who are incompeteny. But again he put Mustapha Mkullo on finance, which does not make sense. 2) Change of speakership was necessary, Sitta is an id!0t who pursued Richmond for his own umaarufu and not kwa maslahi ya taifa. He used speakership as a tool to punish his political enemies and advance his personal agenda, folks like him do not deserve the speakership.

I would also like to add that CCM wanasoma nyakati na upepo wa siasa. You will all be pleasantly surprised by their performance in the next 5 years. In a way, we needed DR. SLaa to provide changamoto, and he did just that. So do not be surprised when the cabinet will be shrunk, folks like Rakesh taking over Elimu and given mandate to transform the ministry. More than ever CCM want to show folks what they are capable of.

Mnakumbuka shuka wakati ndo kumekucha??? CCM perfoming? Yes, We wadanganyika will be more than happy to see Kigoma becoming Dubai, 400 Bajajis, Fly over in all big cities, Titanic connecting BKB and Mwanza, Pantoni kila penye mto... and the list goes on.. amounting to 90 ?? in five years!

Go go.. wachakachuaji we are watching you closely, five years is not far.. come again with you blah blah.. kasi zaidi of ufisadi lol!
 
Mnakumbuka shuka wakati ndo kumekucha??? CCM perfoming? Yes, We wadanganyika will be more than happy to see Kigoma becoming Dubai, 400 Bajajis, Fly over in all big cities, Titanic connecting BKB and Mwanza, Pantoni kila penye mto... and the list goes on.. amounting to 90 ?? in five years!

Go go.. wachakachuaji we are watching you closely, five years is not far.. come again with you blah blah.. kasi zaidi of ufisadi lol!

You just don't become the oldest ruling party in all of Africa kwa kuchakachua only. Obviously you do not agree. Which doesn't surprise me, you are in Jamii Forum. We will see in the next few years the performance of the next government. As the matter of fact prepare to be surprised before the end of this week wakitangaza baraza.

Look, it seems like watu humu ndani wants this government to fail ili wapate their "I told you so" moment. Ushabiki wa siasa unapozidi, commonsense yote inapotea. Slaa has almost create a cult here in Jamii Forum and folks just surrendered their ability to think objectively. Kila kitu ufisadi, no discussion. Nothing.
 
Hapo ni swali na kuku na yai; unaanza kwanza kuwa na uongozi bora utakaohakikisha uozo hauendekezwi kisha ndio unasimika viongozi bora - au umesahau methali ya Kiswahili isemayo samaki mmoja akioza...?

Hivi vitu viwili vimeungana sana. Uongozi bora hauwezi kuwepo kama hakuna siasa safi, vilevile huwezi kuwa na siasa safi bila ya uongozi bora. Suala la msingi ni kwa namna gani uongozi bora unapatikana. Uongozi bora unawekwa na wananchi. Bahati mbaya kuna uongozi mbaya unaozuia wananchi kuchagua viongozi bora. Ukiendelea kunyumbulisha ni kuwa msingi wa vyote viwili uongozi bora na siasa safi ni wananchi. Kwa hiyo Watanzania ndiyo wenye nguvu ya kuamua kukataa uongozi mbaya na kuuweka mzuri ambao utachochea kuwepo kwa siasa safi na uongozi bora. Kwa sasa hivi uongozi wa juu uliokuwepo, yaani rais na serikali yake sio wa wananchi hivyo hauwezi kuweka siasa safi na wala hauwezi kuruhusu uongozi bora kuwepo. Huyu RR hataweza kufanya lolote, afadhali akatae uteuzi kama atapewa, abaki huko aliko kama taasisi inayotoa mawazo mbadala hadi watanzania tutakapoweza kutumia nguvu tulizonazo kuweka uongozi bora na kuondoa uongozi mbaya.
 
hivi mnamkumbuka margreth sitta kabla hajawa waziri? mnamkumbuka augustino mrema alipokuwa waziri? i support the proposal but he is disqualified for ccm and the current government. they are disinterested in quality. let us keep him for the next government, chadema's.
 
Kwa sasa hivi si Mbunge lakini wakitaka kumpa uwaziri itabidi wampe Ubunge kwanza.. uzuri wake once wakimpa Ubunge hata wakimuondoa Uwaziri hawezi kuachilia Ubunge hadi miaka yake mitano iishe!

Miaka mitano iishe? Kwani rais hawezi kutengua uteuzi wake? Ina maana kama jamaa atakuwa radical ataachwa tu akaye bungeni huku anatoa hoja za kuiangamiza serikali na CCM?
 
hivi mnamkumbuka margreth sitta kabla hajawa waziri? mnamkumbuka augustino mrema alipokuwa waziri? i support the proposal but he is disqualified for ccm and the current government. they are disinterested in quality. let us keep him for the next government, chadema's.

So, all the competent people should not work for this government. And you say that you are mzalendo. This is pathetic.
 
"In Africa what is immediately possible for us is to change the ruling class. And changing the ruling class is just changing names or persons because the dominating class will bring another group" - H. Odera Oruka

Hata Mwanakijiji angepewa Ubunge wa Kuteuliwa na kupewa Unaibu Waziri Mkuu bila mabadiliko ya mfumo wa Siasa na Uongozi nchini hali ya Miundombindu, Maji, Nishati, Elimu, Afya na kadhalika ingebaki hivi hivi!
 
tatizo si kukosekana watu ni mifumo iliyopo chini ya ccm. Hakuna mtu alikuwa mtednaji mzuri kama charles keenja, lakini mfumo wa utendaji kazi wa wizara zoilizoko chini ya ccm ulimshinda kuonyesha uwezo wake alionyesha tume ya jiji ambapo alikuwa akikusanya fedha nwenyewe na kuzitumia kufanya maendeleo.
Sasa rr atasubiri kupangiwa kiasi kidogo hala fu mchwa kibao wangoja kuchakachua fedha hizo. Hakuna kitu kitakacho tokea. Lakini ni vyema kajaribu ili watanzania waweze kuamini kuwa tatizo ni kansa iliyoko ndani ya ccm
 
Kwangu mimi.. namuunga mkono na miguu!!!


What do you think?

Mzee wetu Mwanakijiji..........................really you do not know JK..or do you?...he is the weakest leader in our history.........how can he surround himself with professionals who are going to overshadow him?..............................just forget this as it is never gonna happen............
 
Nilipenda sana misimamo yake alipopuwa hakielimu. Ila hata Mama Sita naye alikuwa almost kama RR kabla, lakini alipopewa wizara ... (malizieni)

Hitimisho: mfumo mzima una matatizo na unahitaji kurekebishwa haraka. Je mfumo huo utaweza kurekebishwa na mtu kama RR au Waziri yeyote wa Elimu (Kumbuka kuwa Uwaziri hausomewi so hata Prof Maji Marefu anaweza kuwa Waziri wa Elimu).

Kwa mawazo yangu, anahitajika Mtaalam wa mambo ya elimu kusimamia urekebishwaji wa mfumo mzima wa Elima hapa Tanzania.

Siku Kitila Mkumbo atakapokuwa Waziri wa Elimu!
 
Hitimisho: mfumo mzima una matatizo na unahitaji kurekebishwa haraka. Je mfumo huo utaweza kurekebishwa na mtu kama RR au Waziri yeyote wa Elimu (Kumbuka kuwa Uwaziri hausomewi so hata Prof Maji Marefu anaweza kuwa Waziri wa Elimu).

Kwa mawazo yangu, anahitajika Mtaalam wa mambo ya elimu kusimamia urekebishwaji wa mfumo mzima wa Elima hapa Tanzania.

Siku Kitila Mkumbo atakapokuwa Waziri wa Elimu!

Mzee wa sauti za umeme, hapa sijakuelewa bado..
 
Haya ndio matatizo ya ushabiki. U want a country to move forward, but you do not wish to see competent folks working for government--just because you hate CCM. Mshkaji, this kind of thinking won't take us anywhere!


wewe uko nchi gani wewe ndugu yangu....
we toka lini ukaona mtu anaweza kubadili fikira za mwenyekiti wa CCM...
Angalia Kina Magufuli, Mwakyembe, Anna Kilango nae karibia achinjiwe baharini...
Ndani ya CCM hakuna cha maana atakachoweza badilika bora abaki zake na ile Taasisi Mpya..

CCM imeoza na ukiingia lazima unuke huu sio ushabiki ndo kweli yenyewe kama huamini ( karushe Almasi ****** uone kama itarudi ikiwa ina harufu nzuri)
Mwishowe wakiona kawaingilia sana utasikia tunaambiwa katimuliwa uwaziri kwa sababu si Mtanzania... Muulize Jenerali Ulimwengu....
 
Back
Top Bottom