Elections 2010 Rakesh Rajani Kuukwaa Uwaziri? Elimu..?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,460
39,928
Kama tetesi zinazotembea taratibu zina ukweli utakuwa ni mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuleta matumaini katika wizara hii nyeti.. kwanza kwa sababu amejithibitisha kuwa ana uwezo, ni jasiri, na yuko tayari kuchukua maamuzi magumu. Pingamizi kubwa ni kutoka kona fulani fulani ambazo zinaona kuwa Bw. RR amekuwa anti-govt or anti-CCM. Watetezi wake wanadokeza kuwa kama mambo anayosema (kupitia taasisi zake) yana ukweli na ana mawazo ya kuboresha elimu.. give it to him...

BIO YA RAKESH KWA UFUPI

Kwangu mimi.. namuunga mkono na miguu!!!

What do you think?
 
MMM

Rakesh anafaa sana na hata ukikumbuka alipotoka na kazi zake tangu enzi za mwanza, he is hard working

Lakini kwa muundo na utendaji wa serikali yetu kwa sasa, na hasa katika level ya kurugenzi, rakesh anaweza kuvurugwa na kushushwa heshima yake

unless JK na new PM wawape uhuru na mandate zaidi ya kutekeleza majukumu

there is ahuge laxity kwenye current government kiasi kwamba hata ukiuliza mbona hiki hamna, unaambiwa wewe ni anti-government
 
Kama JK ataamua kumchukua RR na akamuacha bila kumchakachua, basi elimu itapata msukumo mpya. Simjui vizuri sana especially kwenye maisha ya uadilifu, lakini mara nyingi anayoyasema siyo ya kukurupuka na huwa anadata za kuya support. Naamini JK anahitaji watu wa aina ya huyu bwana maana wale wacheza bao wanamuangusha sana. Hawezi akawa Rais, at the same time waziri wa wizara nyingi zenye mawaziri wasiotimiza wajibu wao.
 
Sounds interesting. But who can dare to do that in CCM. Remember we have said it many times and we say it again that, to these guys, 'capacity and being able' to deliver is a disqualification. If JK appoints RR, he will be signaling the unthinkable that he intends to do things differently and in a better way. But the unnecessary change of speaker does not make me believe that this can happen! It's a nice dream and is likely to remain so!
 
Kama tetesi zinazotembea taratibu zina ukweli utakuwa ni mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuleta matumaini katika wizara hii nyeti.. kwanza kwa sababu amejithibitisha kuwa ana uwezo, ni jasiri, na yuko tayari kuchukua maamuzi magumu. Pingamizi kubwa ni kutoka kona fulani fulani ambazo zinaona kuwa Bw. RR amekuwa anti-govt or anti-CCM. Watetezi wake wanadokeza kuwa kama mambo anayosema (kupitia taasisi zake) yana ukweli na ana mawazo ya kuboresha elimu.. give it to him...

BIO YA RAKESH KWA UFUPI

Kwangu mimi.. namuunga mkono na miguu!!!

What do you think?

RR ni mtu mwenye mawazo ya maendeleo. Kwa hiyo kama akipata nafasi ya kufanya kazi naamini atafanya kwa mafanikio. Ila kwa kuwe yeye amekuwa akifanya kazi zake nje ya serikali kwa maana ya NGOs ambako kuna fursa ya kutoa maoni kwa jinsi mtu anaona inafaa kinyume na ilivyo katika serikali tena ya CCM. Kwa maana hii basi naona kama akiteuliwa na akakakubali atakuwa anajima fursa ya kutoa maoni ya kukosoa kwa uhuru. Pili, watu wenye mawazo ya kimabadiliko watamuona kuwa amewasaliti pale atakapokuwa anafanya mambo kinyume na jinsi walikuwa wanamfahamu hapo awali.

Pia ,kama hii issue ni kweli tunaweza kusema ni njia ya Kikwete kumnyamazisha huyu jamaa ili sauti yake ya mawazo hasi dhidi ya mambo yasifaa yanayofanywa na watalawa ipotee.

Je alikuwa anapiga kelele ili apewe nafasi??
 
Uwezo wa Rajesh hauna mashaka. Issue hapa si personality inayoweza kuwa efficient na effecyive bali ni system iwe overhalled ili ifanya kazi. Ndilo tatizo linalotutofautisha sisi wengine ma CCM. Hawana mfumo wa utekelezaji wa kitaifa kwa sababu ta maslahi yao. Siamini Rajesh atafit kwenye utaribu huu. Lakini nitamshangaa naue akikubali kushiriki. Culpit ni CCM ambaye ameua utendaji wa serikali na hawajui wafanye nini.
 
Sounds interesting. But who can dare to do that in CCM. Remember we have said it many times and we say it again that, to these guys, 'capacity and being able' to deliver is a disqualification. If JK appoints RR, he will be signaling the unthinkable that he intends to do things differently and in a better way. But the unnecessary change of speaker does not make me believe that this can happen! It's a nice dream and is likely to remain so!

KM;

You expressed it in my way!

If The President can dare to go that far ..then something is not ok somewhere..

..Either he isnt the one who made the choice...
and If someone adviced him for the choice ... the advisor isnt the one who ...adviced him for the change of Speaker!!

If all of this is coming from one person..then be sure there is a confusion in that sysytem.. typically ambivalence!!
 
Nilipenda sana misimamo yake alipopuwa hakielimu. Ila hata Mama Sita naye alikuwa almost kama RR kabla, lakini alipopewa wizara ... (malizieni)
 
Nimefanya kazi na huyu bwana miaka takribani 15 iliyopita. Jamaa ni mzuri saana. Na wale wenye tabia ya udokozi watanyooka. Anataka kazi na feedback.
 
RR is not only a brain but also a force, tangu akiwa Mwanza na The Right to Play, akaja Haki Elimu na sasa Twaweza, amekuwa mwiba mchungu kwa serikali katika tasnia ya elimu, kama kuna ukweli wowote, utathibitika Jumanne baada ya kulifichua jina na PM, Majina ya wateule wake kumi yatapelekwa bungeni, na miongoni likiwemo RR huo utakuwa ni ukweli na kama ni kweli, JK atakuwa amefanya mapinduzi makubwa kwa maendeleo ya taifa.
 
@X-paster

Bongo kila kitu kampeni, hata wachumba wa kuoa huwa tunapiga kampeni mazee

we have politicised everything
 
Sounds interesting. But who can dare to do that in CCM. Remember we have said it many times and we say it again that, to these guys, 'capacity and being able' to deliver is a disqualification. If JK appoints RR, he will be signaling the unthinkable that he intends to do things differently and in a better way. But the unnecessary change of speaker does not make me believe that this can happen! It's a nice dream and is likely to remain so!

ngoja tusubili, kwa kweli akiteuliwa huyu bwana itakuwa vizuri, yale matangazo yao yaliyochukiwa kipindi furani na baadhi ya viongozi bila shaka atarekebisha na hali iwe nzuri mashuleni.
 
Ni mbunge wa wapi?
Kama si mbunge, ina maana katiba yetu ilishafanyiwa marekebisho waziri kutokuwa mbunge? Au ni mmojawapo wa wale 10 wa kuteuliwa na Rais? Ni swali tu maana sina kumbukumbu kama katiba ilishafanyiwa marekebisho hayo.
 
Kutoa mawazo ya aina yeyote ruksa ila matokeo ni jambo jingine..sijaguswa na RR kuwemo kwenye uongozi wa wizara ya elimu chini ya utawala wa JK na wenzakee..Tabia za mfumo wa utawala wetu ni zaidi ya majadilianoooo....
 
RR is not only a brain but also a force, tangu akiwa Mwanza na The Right to Play, akaja Haki Elimu na sasa Twaweza, amekuwa mwiba mchungu kwa serikali katika tasnia ya elimu, kama kuna ukweli wowote, utathibitika Jumanne baada ya kulifichua jina na PM, Majina ya wateule wake kumi yatapelekwa bungeni, na miongoni likiwemo RR huo utakuwa ni ukweli na kama ni kweli, JK atakuwa amefanya mapinduzi makubwa kwa maendeleo ya taifa.

Akiwa Waziri wa elimu nani atakayekosoa masuala ya elimu? Kama serikali ya CCM ingekuwa na nia njema na elimu ya Tanzania si ingetekeleza zamani mawazo yake anayotoa kuhusu elimu?
 
Kama RR atakubali basi akubali kwa mkataba maalum kuwa anaingia kwa ajili ya kulifanyia kazi taifa na si kwa ajili ya CCM. Maana katika CCM masilahi binafsi kwanza, itatokea tender watamlazimisha afanye favor kwa mtu wa anayetakiwa na chama hata kama hana uwezo hapo ndipo uborongaji utakapoanza.

Kama ataruhusiwa kufanya kazi kwa misingi ya sheria bila kuangalia vimemo basi atabadili wizara vinginevyo atajikuta amekuwa disolved kwenye lindi la roten system ya CCM and the cronies
 
Kwa sasa hivi si Mbunge lakini wakitaka kumpa uwaziri itabidi wampe Ubunge kwanza.. uzuri wake once wakimpa Ubunge hata wakimuondoa Uwaziri hawezi kuachilia Ubunge hadi miaka yake mitano iishe!
 
Mwalimu alisema ili nchi iendelee inahitaji ardhi, watu, siasa safi na uongozi bora. Naona tumejikita katika kutafuta watu tunaoona kuwa ni bora - Rakesh Rajani, Anna Tibaijuka n.k. Ila hata uwe na watu makini na waliobebea kiasi gani kama huna siasa safi na uongozi bora huwezi kufika popote. Sana sana utaishia kuwatibua tu watu hao wenye uwezo. Historia yetu haidanganyi - rejea yaliyomkuta John Magufuli!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom