Raisi Samia Suluhu muige Ibrahim Traore wa Burkina Fasso

Notorious thug

JF-Expert Member
Dec 29, 2021
2,817
10,594
Kwa umri wake wa miaka 35 kaptein Ibrahim Traore ni mtoto kwa umri wa Samia Hassan Suluhu ila kwa utendaji wake wa kazi Ibrahim Traore ni mwalimu kwa Samia.

Ni raisi mwenye msimamo na uthubutu hazungukwi na Wezi na Machawa inakatisha tamaa kuona Raisi ana chama chake cha Machawa(AIBU).

Ibrahim Traore ni shujaaa badala ya kuzipigia magoti nchi za Magharibi kazinyooshea kidole hapa Samia Suluhu kuna la kujifunza anasema haiingii akilini kuona Afrika ni maskini licha ya utajiri tuliojaliwa Samia hapa jifunze kupunguza kuomba misaada.

315622708_505325158302968_5521542015476640976_n.jpg
 
Halafu huyu dogo ni aliandaliwa au alijiandaa na ndoto ya kuwa Rais wa nchi na amejipanga sana huyu Mwamba
 
anasema haiingii akilini kuona Afrika ni maskini licha ya utajiri tuliojaliwa

Huwa wanaanza na kauli za namna hii plus mbwembwe nyingi, utamu wa ikulu ukinoga wanaanza kutesa wapinzani wao na kung'ang'ania madaraka.

Miaka kadhaa mbeleni watakuwa wanahangaika namna ya kumtoa madarakani huku akiinajisi na kuibadilisha katiba atakavyo. Hasa hawa wanaoingia kwa mapinduzi huwa siwaamini sana.
 
Cheo chake ni captain

Tu,kawatuliza tuli mageneral na mabrigadia wote kawafyata mkia

Ova
Sio bure yule jamaa ana back up fulani kubwa nyuma yake ndio wanampa nguvu ilê msichukulie poa
 
Kwa umri wake wa miaka 35 kaptein Ibrahim Traore ni mtoto kwa umri wa Samia Hassan Suluhu ila kwa utendaji wake wa kazi Ibrahim Traore ni mwalimu kwa Samia.

Ni raisi mwenye msimamo na uthubutu hazungukwi na Wezi na Machawa inakatisha tamaa kuona Raisi ana chama chake cha Machawa(AIBU).

Ibrahim Traore ni shujaaa badala ya kuzipigia magoti nchi za Magharibi kazinyooshea kidole hapa Samia Suluhu kuna la kujifunza anasema haiingii akilini kuona Afrika ni maskini licha ya utajiri tuliojaliwa Samia hapa jifunze kupunguza kuomba misaada.

Unataka coup detour au vipi??
 
Alifanya mapinduzi ya nchi? Ana muda gani katika hiyo nafasi? Mpe muda, na ufuatilie kwa karibu utendaji wake na mrejesho wa wananchi. Afrika hasa kwenye uongozi, kuna laana fulani ambayo haimuachi yeyote salama.
 
Huyu rais wa Burkina Faso anasema nini? He is very wordy,speaks too much.(for a military man)
Mimi nimeeshindwa kumuelewa.
 
Kwa umri wake wa miaka 35 kaptein Ibrahim Traore ni mtoto kwa umri wa Samia Hassan Suluhu ila kwa utendaji wake wa kazi Ibrahim Traore ni mwalimu kwa Samia.

Ni raisi mwenye msimamo na uthubutu hazungukwi na Wezi na Machawa inakatisha tamaa kuona Raisi ana chama chake cha Machawa(AIBU).

Ibrahim Traore ni shujaaa badala ya kuzipigia magoti nchi za Magharibi kazinyooshea kidole hapa Samia Suluhu kuna la kujifunza anasema haiingii akilini kuona Afrika ni maskini licha ya utajiri tuliojaliwa Samia hapa jifunze kupunguza kuomba misaada.

Eleza mambo aliyoyafanya kujenga uchumi.
Hsta mseveni huwasema mabeberubila nchi masikini mpaka leo.
Hatuhitaji kusikia maneno kina Nkuruma,Nyerere,Mandela,Ghadafi walishaongea sana.
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Back
Top Bottom