Mnaopenda uongozi wa kiki ndiyo mnaomchukia rais Samia Suluhu

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Sep 19, 2023
201
439
Nimegundua wengi mnaombeza RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ni wale mliokuwa mmezoea uongozi wa maigizo.

Huyu mama yupo straight kwa Kila jambo, kama pesa tunapokea kwa wahisani anasema wazi bila kuficha.Mwendazake alikuwa muigizaji sana anakopa kisha tunaambiwa pesa zinatoka vyanzo vya ndani.

Pia kwa kuwa watanzania tunaishi kwa roho mbaya,tulizoea Kila siku kuona mtu katumbuliwa na kutukanwa hadharani kwenye mikutano.

Mama anafuata utawala wa kisheria!
Kuhusu Mikataba sote tujiulize kabla ya SSH kuingia madarakani watangulizi wake waliwahi kuwaonyesha mikataba ya maeneo mengine ya uwekezaji au tunakuwa bendera fuata upepo?

Tumpeni ushirikiano Mama ili achape kazi vizuri.....!!!!!

2025 kura zote Kwa Samia.......💪

FB_IMG_1698858462798.jpg
 
Back
Top Bottom