Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Ndg J.K. hawezi badilika tuongelee mwingine atakayekuja sio huyu anayeondoka.
yaanihuyu mzeee mi nasikia hata kutapika nikisoma mambo yake...kaenda kufungua nini tabora? kule canada eti kaenda kwenye mkutano wa uzazi wa mpango huyu anajua uzazi wa mpango kweli huyu? mtu ana watoto 60 ..mxxxiii