Rais wetu yupo angani kila siku

Rais wetu yupo angani kila siku

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,863
Kwanini huyu rais hatulii ofsini yeye muda wote anawaza kupaa angani tu. Juzi katoka Marekani kumtafutia Diamond promota jana kapaa kwenda Tabora kuzindua mradi wa tiba ya saratani ina maana kazi kama hii angefanya hata katibu mkuu wa wizara lakini inafanywa na rais wa nchi hivi ni lini atakaa ofsini atulie na atafakari jinsi ya kushughulikia matatizo ya nchi, kutwa kucha yupo angani hata akirudi nchi hataki kutulia ofsini hivi ni muda gani ambao wasaidizi wake humpa ripoti na kuweza kushughulikia matatizo hayo au nchi umemkabidhi nani?Watanzania tumeula wa chuya kwa uvivu wa kuchaguasiamini akili za watanzania eti wakamuacha Prf Lipumba na Dr slaa wakamchagua Kikwete.
 
Achana na huyo popo, sisi tunajua nchi iko kwenye auto-pilot kwa miaka takribani 10 sasa tangu mwaka 2005.
 
Kwanini huyu mzee hatulii ofsini yeye muda wote anawaza kupaa angani kama popo ni juzi katoka Marekani kumtafutia Diamond promota jana kapaa kwenda Tabora kuzindua mradi wa tiba ya saratani ina maana kazi kama hii angefanya hata katibu mkuu wa wizara lakini inafanywa na rais wa nchi hivi ni lini atakaa ofsini atulie na atafakari jinsi ya kushughulikia matatizo ya nchi, kutwa kucha yupo angani hata akirudi nchi hataki kutulia ofsini hivi ni muda gani ambao wasaidizi wake humpa ripoti na kuweza kushughulikia matatizo hayo au nchi umemkabidhi nani?Watanzania tumeula wa chuya kwa uvivu wa kuchaguasiamini akili za watanzania eti wakamuacha
Prf Lipumba na Dr slaa wakamchagua Kikwete.
Akitoka huko anaelekea Dubai tubaki mpaka kipindi chake kiishe
 
Achana na huyo popo, sisi tunajua nchi iko kwenye auto-pilot kwa miaka takribani 10 sasa tangu mwaka 2005.

Nchi imejiendesha miaka 10 bila rais.
 
Ndg J.K. hawezi badilika tuongelee mwingine atakayekuja sio huyu anayeondoka.
 
Huyu ni msanii na anaongoza kisanii serikali ya kufikirika ambayo kihalisia inakwenda kwa kudra za mungu pekee.
 
Dah kwel Mjomba atulie officin japo mwenz mmoja bila kupaa afikirie mstakabal wa hii nchi
 
ha ha ha ha ha anakula bata kabisa akimaliza muda wake ataunda Foundation kwa ajili ya kutoa misaada kwasasa yuko bize na ziara.
 
Hakukuwa na haja ya mh. Membe kuwa na naibu waziri wa mambo ya nje kamwe! Jk alitosha kabisa kuwa rais na naibu waziri wa mambo ya nje!
 
ndo maana akaitwa vasco da gama au dr fastjet..
 
Nasikia anataka kufanya kama Putin. Atakae shinda uraisi ccm atamuweka waziri wa mambo ya nje.
 
watanzania tungekua na busara kwa kupenda maendeleo kama yanayofanyika hivi sasa tusingeropoka na tungemuomba JK aongeze kama miaka 10 hivi watanzania wasema hovyo mpoooo
 
watanzania tungekua na busara kwa kupenda maendeleo kama yanayofanyika hivi sasa tusingeropoka na tungemuomba JK aongeze kama miaka 10 hivi watanzania wasema hovyo mpoooo

Hututakii mema watanzania.
 
Back
Top Bottom