Rais wetu yupo angani kila siku

Rais wetu yupo angani kila siku

Watanzania tumepata heshima kubwa DUNIANI kwa kuwa na Rais wa Kwanza mzururaji Duniani. Wajukuu zetu watakuja kutuuliza siku moja kama tulikosa kabisa mtu ambaye angeyeweza kuongoza nchi kwa ufanisi mpaka tukaamua kumtafuta mtalii wa ulimwengu, sijui tutajibu nini!

'Ikatokea siku moja mkawa na kiongozi, akawaambia huko nje kuna pesa nyingi sana kuliko hapa nyumbani, mwambieni mp.umba.vu wewe', (JK Nyerere).

'Huko nje kuna nchi zina pesa nyingi sana, unachotakiwa ni kujenga hoja wakakuelewa, watakupa', (Jakaya Kikwete).

watanzania tungekua na busara kwa kupenda maendeleo kama yanayofanyika hivi sasa tusingeropoka na tungemuomba JK aongeze kama miaka 10 hivi watanzania wasema hovyo mpoooo
 
Kwanini huyu rais hatulii ofsini yeye muda wote anawaza kupaa angani tu. Juzi katoka Marekani kumtafutia Diamond promota jana kapaa kwenda Tabora kuzindua mradi wa tiba ya saratani ina maana kazi kama hii angefanya hata katibu mkuu wa wizara lakini inafanywa na rais wa nchi hivi ni lini atakaa ofsini atulie na atafakari jinsi ya kushughulikia matatizo ya nchi, kutwa kucha yupo angani hata akirudi nchi hataki kutulia ofsini hivi ni muda gani ambao wasaidizi wake humpa ripoti na kuweza kushughulikia matatizo hayo au nchi umemkabidhi nani?Watanzania tumeula wa chuya kwa uvivu wa kuchaguasiamini akili za watanzania eti wakamuacha Prf Lipumba na Dr slaa wakamchagua Kikwete.

Leo mtani wangu mzee Wa bunda umeamua kumuchana live TATA FAST JET,Angalia kucha na meno ya kulia nyama mtani.
 
watanzania tungekua na busara kwa kupenda maendeleo kama yanayofanyika hivi sasa tusingeropoka na tungemuomba JK aongeze kama miaka 10 hivi watanzania wasema hovyo mpoooo

hatukushangai mtu uliechukuliwa msukule tunachoweza fanya ni kufunga na kukuombea ili utoke ktk nguvu za giza
 
JK mjanja sana mwenzake Mkapa alilipa madeni Mwinyi alitoa uhuru wa biashara yeye alipoona hana cha kukumbukwa akaona bora aweke rekodi ya kusafiri mara nyingi zaidi.
 
Ukion hivyo hakuingia Ikulu kihalali hivyo hana uchungu na watanznia maana hawakumchagua
 
akisafiri anakwenda kuhemea akirudi anakuja na msosi waTz tunakula....hongera mh.kikwete rais pendwa na mzalendo ulieleta uhuru wa WAROPOKWAJI kukutukana

Leo ningeambiwa kuna UCHAGUZI wa nafasi ya URAIS,maana aliyekuwepo amejiuzulu, ningeenda kumshukuru Mungu maana ametupunguzia muda wake kwenye nafasi husika.
 
JK mjanja sana mwenzake Mkapa alilipa madeni Mwinyi alitoa uhuru wa biashara yeye alipoona hana cha kukumbukwa akaona bora aweke rekodi ya kusafiri mara nyingi zaidi.
Yaani jamaa yupo kama Mr Bean vile mambo yake.Anatudhalilisha kama taifa.
 
watanzania tungekua na busara kwa kupenda maendeleo kama yanayofanyika hivi sasa tusingeropoka na tungemuomba JK aongeze kama miaka 10 hivi watanzania wasema hovyo mpoooo
embu tuambie yapi?
 
rais wetu kaamua ALE BATA MpAKA KUKU WASHANGAE. SHUGHULI ZAKE NI KUSAFIRI, AKIRUDI ANATEUA AU KUHANI MSIBA.
 
Ndo zake hasa wakati mwingine kuulizia ni nani anaonekana kumpinga ili wamwandalie koleo ya kunyofolea meno na kucha.
 
kwanini huyu rais hatulii ofsini yeye muda wote anawaza kupaa angani tu. Juzi katoka marekani kumtafutia diamond promota jana kapaa kwenda tabora kuzindua mradi wa tiba ya saratani ina maana kazi kama hii angefanya hata katibu mkuu wa wizara lakini inafanywa na rais wa nchi hivi ni lini atakaa ofsini atulie na atafakari jinsi ya kushughulikia matatizo ya nchi, kutwa kucha yupo angani hata akirudi nchi hataki kutulia ofsini hivi ni muda gani ambao wasaidizi wake humpa ripoti na kuweza kushughulikia matatizo hayo au nchi umemkabidhi nani?watanzania tumeula wa chuya kwa uvivu wa kuchaguasiamini akili za watanzania eti wakamuacha prf lipumba na dr slaa wakamchagua kikwete.
jitambue kijana kwa bandiko lako
 
Kwanini huyu rais hatulii ofsini yeye muda wote anawaza kupaa angani tu. Juzi katoka Marekani kumtafutia Diamond promota jana kapaa kwenda Tabora kuzindua mradi wa tiba ya saratani ina maana kazi kama hii angefanya hata katibu mkuu wa wizara lakini inafanywa na rais wa nchi hivi ni lini atakaa ofsini atulie na atafakari jinsi ya kushughulikia matatizo ya nchi, kutwa kucha yupo angani hata akirudi nchi hataki kutulia ofsini hivi ni muda gani ambao wasaidizi wake humpa ripoti na kuweza kushughulikia matatizo hayo au nchi umemkabidhi nani?Watanzania tumeula wa chuya kwa uvivu wa kuchaguasiamini akili za watanzania eti wakamuacha Prf Lipumba na Dr slaa wakamchagua Kikwete.

Ndugu yangu tuache uswahili na mawazo finyu ...Mh.JK anaenda nje kusaka masilahi ya nchi na kuleta teknologiya mpya!!!
Humu nchini ofisi yake itasaidia nini ? Huoni serikali na viongozi wake wote wanahujumu, na ufisadi umekubuhu? Bora aende angalau wananchi wa kawaida wa ambue vinvyokuja kutoka nje !!
 
Akitulia ofisini au asipotulia wewe unapungukiwa na nini, kwa nchii hii na aina ya watu mlivyo Raisi wa ofisini hafai. Kwanza uongo mwingi na unafiki, husda vyote mnavyo nyie mtu akikaa ofisini si ndio thread zitamwagika humu JF mpaka basi kuna kazi ya mtu nyie mmeikubali na mbona hamkumchagua nyie, we na wenzako tulieni hivyo hivyo mpaka mtakapotosha kupiga kura za kupata kiongozi sasa hivi kubalini mmekamatwa na msipojipanga vyema mtaisoma.

Kwanini huyu rais hatulii ofsini yeye muda wote anawaza kupaa angani tu. Juzi katoka Marekani kumtafutia Diamond promota jana kapaa kwenda Tabora kuzindua mradi wa tiba ya saratani ina maana kazi kama hii angefanya hata katibu mkuu wa wizara lakini inafanywa na rais wa nchi hivi ni lini atakaa ofsini atulie na atafakari jinsi ya kushughulikia matatizo ya nchi, kutwa kucha yupo angani hata akirudi nchi hataki kutulia ofsini hivi ni muda gani ambao wasaidizi wake humpa ripoti na kuweza kushughulikia matatizo hayo au nchi umemkabidhi nani?Watanzania tumeula wa chuya kwa uvivu wa kuchaguasiamini akili za watanzania eti wakamuacha Prf Lipumba na Dr slaa wakamchagua Kikwete.
 
Mwanaume anayekaa nyumbani siku zote tumwite zezeta au aliye pewa mbwata

JK katafute baba
 
Back
Top Bottom