sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
View attachment 163402Huyu ni mmoja wa washauri wake wakubwa, anapenda sana kusinzia pale mjengoni dodoma
Kwi kwi kwi...
View attachment 163402Huyu ni mmoja wa washauri wake wakubwa, anapenda sana kusinzia pale mjengoni dodoma
haijalishi. kwangu mimi Kikwete ndo rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania. kwani nyie mnampima urais wake kwa kuangalia amesafiri mara ngapi au kwa kuangalia amefanya nini? Poor analysis.
Mtu mwenye uwezo wa kuiongoza Tanzania kipindi kijacho ni Dr Salimu A.Salim pekee, wengine bwembwe tu
Huyo ndo Abunuas, hata mee naona amedhibit rushwa tena kubwa,umaskini kwishney,amekuza viwanda,ameondoa fake goods bongo,ameimarisha afya,elimu imeongezeka ubora,amenunua ndege za kutosha za ATCL,ameomba mascrepa ya tren uingereza,anapambana na ujangili,anawajua wauza unga na aliwataja na walikamatwa
kusafiri kwake watanzania tunafaidika kwa maendeleo
watanzania tungekua na
busara kwa kupenda maendeleo kama yanayofanyika hivi sasa tusingeropoka
na tungemuomba JK aongeze kama miaka 10 hivi watanzania wasema hovyo
mpoooo
View attachment 163402Huyu ni mmoja wa washauri
wake wakubwa, anapenda sana kusinzia pale mjengoni dodoma
Akitoka huko anaelekea Dubai tubaki mpaka kipindi chake kiishe
weka comparative analysis na sio huu upuuzi uliweka hapa.
ndugu yangu naona wewe unamatatizo sisi tunaehangaika na maisha ya kuzunguka nchi nzima tunaona maendeleo ya barabara tofauti na miaka 15 iliopita
Yule mzee (Dr. Slaa) akiwa Rais si ndiyo ataigeuza Ikulu kuwa danguro la madada poa! Mwache JK awatumikie watanzania, au ulitaka huko Tabora aende kwa train? Acha wivu wa kijinga we mtoto wa kiume.