Rais wetu yupo angani kila siku

Rais wetu yupo angani kila siku

Kwanini huyu mzee hatulii ofsini yeye muda wote anawaza kupaa angani kama popo ni juzi katoka Marekani kumtafutia Diamond promota jana kapaa kwenda Tabora kuzindua mradi wa tiba ya saratani ina maana kazi kama hii angefanya hata katibu mkuu wa wizara lakini inafanywa na rais wa nchi hivi ni lini atakaa ofsini atulie na atafakari jinsi ya kushughulikia matatizo ya nchi, kutwa kucha yupo angani hata akirudi nchi hataki kutulia ofsini hivi ni muda gani ambao wasaidizi wake humpa ripoti na kuweza kushughulikia matatizo hayo au nchi umemkabidhi nani?Watanzania tumeula wa chuya kwa uvivu wa kuchaguasiamini akili za watanzania eti wakamuacha Prf Lipumba na Dr slaa wakamchagua Kikwete.
Kweli aisee..! Sijui kwa nini hatosheki.., alisafiri vya kutosha kwa miaka kumi alipokuwa waziri wa mambo ya nje.. rais ,pia miaka kumi yuko safarini.., baada ya hapo itakuwaje. Je ataweza kuendelea kupaa kwa pension? maana mazoea huzaa tabia. Na akitokea kawekwa korokoroni na mzee lowasa, sijui itakuwaje?
 
Popo hilo halilali, mpaka harus anahudhuria, ila ndo mda wake wa kula bata, inavyosekana anavyosafir kila kukicha huwa anasafiri na unga ndo maana safar haziishi halafu tunadanganywa toto hapa,
 
watanzania tungekua na busara kwa kupenda maendeleo kama yanayofanyika hivi sasa tusingeropoka na tungemuomba JK aongeze kama miaka 10 hivi watanzania wasema hovyo mpoooo

Labda akamuongoze mume wako,mbwa wewe!
 
kwa uvivu wa kuchagua[/u]siamini akili za watanzania eti wakamuacha Prf Lipumba na Dr slaa wakamchagua Kikwete.
Mtu mwenye uwezo wa kuiongoza Tanzania kipindi kijacho ni Dr Salimu A.Salim pekee, wengine bwembwe tu
 
Huyu jamaa anashangaza sana

Mikutano mingine ni ya kuwakilishwa na maafisa wa wizara ila yeye yumo

Hana delegation of Power
 
Jamani anajifunza urubani maana masomo haya aliyapenda lakini hayakumpenda sasa urubani si ni udreva tu naye kaiva kimafunzo. Dr. Dr. Dr. Pilot Dr. Mrisho
 
Yawezekana maendeleo ya kitandani kwenu na mmeo.

ndugu yangu naona wewe unamatatizo sisi tunaehangaika na maisha ya kuzunguka nchi nzima tunaona maendeleo ya barabara tofauti na miaka 15 iliopita
 
Bata batani Jk wa pili ponda raha changamoto nyingi nchi hii kila kitu siku hizi changamoto na ikizidi sana tunasema Big result now.Navumilia tu kuwa Mtanzania.
 
Kwanini huyu rais hatulii ofsini yeye muda wote anawaza kupaa angani tu. Juzi katoka Marekani kumtafutia Diamond promota jana kapaa kwenda Tabora kuzindua mradi wa tiba ya saratani ina maana kazi kama hii angefanya hata katibu mkuu wa wizara lakini inafanywa na rais wa nchi hivi ni lini atakaa ofsini atulie na atafakari jinsi ya kushughulikia matatizo ya nchi, kutwa kucha yupo angani hata akirudi nchi hataki kutulia ofsini hivi ni muda gani ambao wasaidizi wake humpa ripoti na kuweza kushughulikia matatizo hayo au nchi umemkabidhi nani?Watanzania tumeula wa chuya kwa uvivu wa kuchaguasiamini akili za watanzania eti wakamuacha Prf Lipumba na Dr slaa wakamchagua Kikwete.
Yule mzee (Dr. Slaa) akiwa Rais si ndiyo ataigeuza Ikulu kuwa danguro la madada poa! Mwache JK awatumikie watanzania, au ulitaka huko Tabora aende kwa train? Acha wivu wa kijinga we mtoto wa kiume.
 
wenyewe wanadai anaenda huko nje/majuu kuhemea....wakimaansiha kuomba misaada kwa ajili ya mama tanzania.
 
Kwanini huyu rais hatulii ofsini yeye muda wote anawaza kupaa angani tu. Juzi katoka Marekani kumtafutia Diamond promota jana kapaa kwenda Tabora kuzindua mradi wa tiba ya saratani ina maana kazi kama hii angefanya hata katibu mkuu wa wizara lakini inafanywa na rais wa nchi hivi ni lini atakaa ofsini atulie na atafakari jinsi ya kushughulikia matatizo ya nchi, kutwa kucha yupo angani hata akirudi nchi hataki kutulia ofsini hivi ni muda gani ambao wasaidizi wake humpa ripoti na kuweza kushughulikia matatizo hayo au nchi umemkabidhi nani?Watanzania tumeula wa chuya kwa uvivu wa kuchaguasiamini akili za watanzania eti wakamuacha Prf Lipumba na Dr slaa wakamchagua Kikwete.

as long mambo yanakwenda hakuna tabu...kila kiongozi ana management style yake...
 
Yule mzee (Dr. Slaa) akiwa Rais si ndiyo ataigeuza Ikulu kuwa danguro la madada poa! Mwache JK awatumikie watanzania, au ulitaka huko Tabora aende kwa train? Acha wivu wa kijinga we mtoto wa kiume.

Hivi unajua rais ana watoto wangapi?
 
Back
Top Bottom