Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

Akienda huko Bukoba na Mwanza mtaanza kumhesabia safari za kwenda kwake. Hamna maana ninyi. Bora aendelee kuratibu maafa akiwa Ikulu kwa vile kule kuna wakuu wa mikoa na wilaya wanaweza kufanya vema
Wewe mtu nadhani hata serikali ikiagiza kwamba wanawake wote nchi hii wabakwe utakuja hapa na kupiga vigelegele
 
Kwani akienda Bukoba ndo atafufua waliokufa?
We hamnazo kweli, kwanini sasa aliacha kwenda Zambia kwe gia eti anakwenda kuwasiadia wahanga wa mafuriko ! au ndo kuogopa yai la malikia
 
Kiusalama sioni sababu ya yeye kwenda huko sasa, ataenda tu any time. Hata asipoenda physically kuna mambo anayoyafanya yahusuyo majanga. Na kingine (nionavyo mimi) kiusalama si vyema akaenda mapema kwani bado matetemeko yanatokea na haijulikani lini yatamalizika. Naamini hali ikiwa shwari ataenda hata kama asipoenda kikubwa ni msaada wa hali na mali uwe umewafikia waathirika, kufika kwake kule physically hakutabadilisha lolote. Kikubwa usalama kwanza lazima uangaliwe. (Ni maoni na mawazo yangu tu msinihukumu)
 
Inawezekana pia anashughulikia suala hilo kutoka Ikulu kwa kutumia wawakilishi wake huko mikoani na wilayani. Ataenda kujiridhisha ikiwa maelekezo yake yamefanyiwa kazi kama alivyoagiza.
huu ni uongo,njoo kivingine...huyu bwana hateteeki tulishawaambia humu!!!
 
Akienda huko Bukoba na Mwanza mtaanza kumhesabia safari za kwenda kwake. Hamna maana ninyi. Bora aendelee kuratibu maafa akiwa Ikulu kwa vile kule kuna wakuu wa mikoa na wilaya wanaweza kufanya vema
You are underrating the President. Rais kuratibu maafa!! Nani ataamua? Rais kuratibu maafa ni sawa na rais kufanya kazi za cdf(taasisi) wakati wa vita.
Maafisa waandamizi na mawaziri wanafanya kazi gani. Hata kama unatetea, jifunze kuwa mwelewa.
 
Waziri mkuu amekwenda bukoba kuwasalimia akasepa kuwahi Dar kusherekea , kwani alishindwa nini kukaa Bukoba na kuswali na wanajamii hao na kuendesha shughuli za uokozi hadi hapo hali itakapokua sawa ndo arudi Dar? ilitakiwa yeye asimamie zoezi hili, aweke kambi kule ili hata michango ya wahisani, majirani zetu wakija au raisi akienda akute kila kitu kiko sawa, yaani serikali ikiongozwa na waziri mkuu , jeshi, madaktari, vifaa vya kuokolea, wakiwa wanaokoa wanatoa huduama za Afya, walitakiwa waondoke siku ya tukio linatokea na waweke kambi huko hadi mambo yatakapokuwa sawa, Serikali inachezea sana maisha ya watanzania , yaani hadi Raisi wa Kenya katoa misaada na kuagiza Jeshi lipeleke sisi bado tunabishana, aibu iliyoje hii ndugu zangu? angalieni hapa Primier wenjianbao wa china alivyoweka kambi pindi Sichuan province ilipokumbwa na tetemeko la ardhi mwaka 2008 , tujifunze wenzetu jinsi wanavyo act haraka, kwa vitendo sio maneno maneno, tunaleta utengano hata kwenye majanga? kweli hili taifa letu tunapoteza tu muda hapa.
Premier Wen appeals for "calm, confidence, efficiency" after quake_English_Xinhua
 
Pengine ndo bado anajikusanya ili afike kwenye eneo la tukio akiwa na kitu fulani cha kusaidia, lakini kwa maoni yangu ni kuwa, rais alitakiwa afike kwenye eneo la tukio mapema iwezeianavyo
 
Mhe.James Mbatia amekuja kutuunga mkono leo Bukoba .Leo tunaendelea na safari ya kuwatembelea wahanga.Mwenyekiti Taifa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe.Freeman Mbowe ameendelea kutoa misaada ya dharura kwa wahanga akiambatana na mwenyekiti Mwenza wa UKAWA James Mbatia ambae ni Mtaalamu wa Masuala ya Maafa

Tupo Hamgembe kisha kata ya Kibeta Tunaendelea na ziara...

Aluta Continua,Victory Ascerta

Ben Saanane
 
Tuliambiwa kaahirisha shughuli na ziara za kimataifa ili ashighulikie janga la tetemeko la ardhi Bukoba na Mwanza, Lakini huku Bukoba Hatujamwona/Hajafika!!
Unataka na yeye aende harakaharaka na mil. 2 na Mifuko 10 ya simenti?
 
Aende Bukoba kufanya nini. waziri Mkuu yuko huko. Wahca yeye aratibu akiwa Ikulu. Hapa kazi tu!

Mbona alipokuwa anaomba kura hakutuma watu wakamwombee na yeye akae Dar akiratibu?.
 
CHADEMA siku zote wanaenda na matukio. Tetemeko la Ardhi limefuta mijadala yote ya UKUTA
Huwez kuendelea na UKUTA wakati watu wanakufa, hawama pakulala na shule zimebomoka sipend chadema ila kwa ili safi wameonyesha kua karibu na waathirika kuliko ata jumba kubwa
 
Akienda huko Bukoba na Mwanza mtaanza kumhesabia safari za kwenda kwake. Hamna maana ninyi. Bora aendelee kuratibu maafa akiwa Ikulu kwa vile kule kuna wakuu wa mikoa na wilaya wanaweza kufanya vema
Unaitwa kwenye uzi wako wa Ihungo [emoji79] [emoji79] [emoji79] [emoji33] [emoji33]
 
Taarifa zinasema bado kuna uwezekano wa tetemeko kuendelea kutokea, unataka aende ili likitokea na yeye afe?
Wee jamaa bana,mbona Waziri mkuu alienda?kwani waliokuwa kule sio binadamu?.......kifo ni sehemu ya mwanadamu muda ukifika hata ujiingize uvunguni utang`oka tu.....ongea lingine sio hilo.
 
Waziri mkuu amekwenda bukoba kuwasalimia akasepa kuwahi Dar kusherekea , kwani alishindwa nini kukaa Bukoba na kuswali na wanajamii hao na kuendesha shughuli za uokozi hadi hapo hali itakapokua sawa ndo arudi Dar? ilitakiwa yeye asimamie zoezi hili, aweke kambi kule ili hata michango ya wahisani, majirani zetu wakija au raisi akienda akute kila kitu kiko sawa, yaani serikali ikiongozwa na waziri mkuu , jeshi, madaktari, vifaa vya kuokolea, wakiwa wanaokoa wanatoa huduama za Afya, walitakiwa waondoke siku ya tukio linatokea na waweke kambi huko hadi mambo yatakapokuwa sawa, Serikali inachezea sana maisha ya watanzania , yaani hadi Raisi wa Kenya katoa misaada na kuagiza Jeshi lipeleke sisi bado tunabishana, aibu iliyoje hii ndugu zangu? angalieni hapa Primier wenjianbao wa china alivyoweka kambi pindi Sichuan province ilipokumbwa na tetemeko la ardhi mwaka 2008 , tujifunze wenzetu jinsi wanavyo act haraka, kwa vitendo sio maneno maneno, tunaleta utengano hata kwenye majanga? kweli hili taifa letu tunapoteza tu muda hapa.
Premier Wen appeals for "calm, confidence, efficiency" after quake_English_Xinhua
Weeeeee weka akiba ya maneno mkuu atakaaje sehem hatarishi siku zote hizo?
 
Akapige Selfie na wahanga kama alivyofanya Mbowe?
Si bora apige selfie, ila yeye angeendelea na safari ya LUsaka na PM angefanya kila kitu.

Tumeshajua beats za serekali, mara hoo siitaji misaada, mara ohh sikusaidiwa na wafanya biashara...

Sasa hivi serekali inatembeza bakuli, si mlisema nchi hii siyo omba omba sasa leo mnawakimbilia mabalozo na wafanyabiashara. International relation ni muhumu sana. Mnajificha mjitokeze adharani...
 
CHADEMA siku zote wanaenda na matukio. Tetemeko la Ardhi limefuta mijadala yote ya UKUTA
Utaacha lini ujinga? Akili yako itakua lini? Unakumbuka uzi wako wa jana wa kumponda Mbowe eti kwa sababu alishauri shule ya Ihungo ifungwe? Mbona leo hujaponda serikali kwa kufunga hiyo shule na nyingine? Hapa unakuja tena na upuuzi ule ule eti CDM wanaenda na matukio, kwani tukio kama hili kuna binadamu mwenye utu ambaye halitamgusa? Kinachokuumiza wewe ni kuona Mbowe kaenda kuwajulia hali waathirika wa janga hilo? Asigeenda ungesema, umekwenda unasema wanaenda na matukio...! Wewe ni mtu wa namna gani? Bure kabisa...
 
Back
Top Bottom