Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

CHADEMA siku zote wanaenda na matukio. Tetemeko la Ardhi limefuta mijadala yote ya UKUTA
Watu wamekufa wewe bado unataka CDM waendelee na UKUTA!!

Kama binadamu tungekuwa hatuendi kwa matukio nafikiri hata Rais asingeahirisha safari yake ya Lusaka!!!
 
Inawezekana pia anashughulikia suala hilo kutoka Ikulu kwa kutumia wawakilishi wake huko mikoani na wilayani. Ataenda kujiridhisha ikiwa maelekezo yake yamefanyiwa kazi kama alivyoagiza.
 
Serikali yetu imeonyesha kutojali wananchi wa Bukoba kwa hali ya juu sana, leo siku ya nne, Raisi wa nchi hajafika eneo la tukio? hakuna kikosi kazi cha kuokoa kilichokwenda haraka kule hata baada ya tukio kutokea siku ya jumamosi? yaani misaada midogo kama mashuka, chakula,vyandalua watu wanalala nje, tents ,madaktari, hata wanajeshi kwenda haraka kuweka kambi kule na kutoa misaada ya haraka hakuna? TV zote nazo hazionyeshi hata coverage ya tukio ,yaani hii nchi yetu nimegundua ni nchi pekee kwa ukanda wa Africa ambao haijali raia wake, ni nchi pekee viongozi wake hawana muda na wananchi.Tukio kama hili ilitakiwa waziri mkuu aweke kambi bukoba hadi mambo yote yatakokwisha ndo arudi, tukio kama hili raisi alitakiwa afike mwenye onsite kuangalia hali halisi sio kuambiwa tu, kwa hili raisi na serikali wamekosa uwajibikaji, wanalitia doa Taifa letu.
 
Tuliambiwa kaahirisha shughuli na ziara za kimataifa ili ashighulikie janga la tetemeko la ardhi Bukoba na Mwanza, Lakini huku Bukoba Hatujamwona/Hajafika!!
zambia lugha kubwa ambayo wangetuelewa ni ki english......raisi atakuja huko karibuni anaangalia msaada gani aje nao
 
Si lazima aje kwani chaguo la Wana Bukoba alishawasili kikubwa tuendelee kuwaunga mkono viongozi wote wa UKAWA waliopo huko.
 
Bado wanahakiki maafa!

Baba wa nyumba unauliza yuko wapiu,Waziri Mkuu aliyeenda hujajua kuwa serikali imekwenda.Swali hili nalifananisha na mtoto anayeuliza mama baba alisema atatununulia nyama na hajakwenda buchani? Mama anamjibu hii nyama unayokula nimeipika mimi,umekwenda kununua wewe fedha katoa baba yako,mtoto anaendelea kuhoji kwa nini hakwenda mwenyewe kununua.

Ungemweka kundi gani mwanao mwenye maswali ya aina hii?
 
Anasubiria msaada wa Uhuru?
 
Inawezekana pia anashughulikia suala hilo kutoka Ikulu kwa kutumia wawakilishi wake huko mikoani na wilayani. Ataenda kujiridhisha ikiwa maelekezo yake yamefanyiwa kazi kama alivyoagiza.
Taarifa zinasema bado kuna uwezekano wa tetemeko kuendelea kutokea, unataka aende ili likitokea na yeye afe?
 
Serikali yetu imeonyesha kutojali wananchi wa Bukoba kwa hali ya juu sana, leo siku ya nne, Raisi wa nchi hajafika eneo la tukio? hakuna kikosi kazi cha kuokoa kilichokwenda haraka kule hata baada ya tukio kutokea siku ya jumamosi? yaani misaada midogo kama mashuka, chakula,vyandalua watu wanalala nje, tents ,madaktari, hata wanajeshi kwenda haraka kuweka kambi kule na kutoa misaada ya haraka hakuna? TV zote nazo hazionyeshi hata coverage ya tukio ,yaani hii nchi yetu nimegundua ni nchi pekee kwa ukanda wa Africa ambao haijali raia wake, ni nchi pekee viongozi wake hawana muda na wananchi.Tukio kama hili ilitakiwa waziri mkuu aweke kambi bukoba hadi mambo yote yatakokwisha ndo arudi, tukio kama hili raisi alitakiwa afike mwenye onsite kuangalia hali halisi sio kuambiwa tu, kwa hili raisi na serikali wamekosa uwajibikaji, wanalitia doa Taifa letu.
Boro wangeachwa kwa dadaa
 
Back
Top Bottom