Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,272
Watu wengine bila ya jk wasingezaliwa lakini nao kelele kibao.
Huu utoto kaufanye nyumbani kwako.
Watu wengine bila ya jk wasingezaliwa lakini nao kelele kibao.
huyo amealalishiwa na Mungu maana nimke wake tena wa ndoa ulitaka uwe ni wewe hapo?Hivi hapa tanzania kunamzinzi zaidi ya hawa wazee hapa.
View attachment 213882
Tanzania pana kazi kweli, lakini lazima pataeleweka tu kuwa nani hafai, watu na akili zao wanadhani rais kuwakaribisha waimba dansi ikulu ni sahihi? kwani waziri wa utamaduni na ofisi yake kazi yao ni nini? mnajiropokea tu, eti huyu mzinzi kuliko huyu, sasa kama mzinzi sisi inatuhusu nini? sisi tunataka rais mwenye maono ya kutaka kutukwamua hapa tulipokwama kiuchumi, maana Kikwete yeye alisema hajui kwanini watz ni maskini, wala katiba haisemi ili uwe rais usiwe mzinzi au lazima uwe na mke, hamna kipengele cha namna hiyo kikatiba, sisi tunatafuta mtu wa kutukwamua hapa, haijalishi dini wala ana wake wangapi, mbona kikwete ana mke zaidi ya mmoja na hatusemi? mnadhani hatuoni, hatusemi kwasababu hayo sio kipaumbele.