Rais wangu Kikwete unajidhalilisha sana.

Rais wangu Kikwete unajidhalilisha sana.

nisije nikaenda kuvurugana naye bure, maana nitamkosoa mengi sana asije akaniona kama nimetumwa na wapinzani, wakati ni matakwa ya wananchi wa kawaida kama mimi.

hapa kuna kaukweli kamejificha. Kumbe mnafanya haya kwa kutumwa na wapinzani?
 
muda mrefu nimekuwa nikimfikiria sana rais Kikwete, kwamba anachofanya sijui ni kutafuta kupendwa au namna gani? maana tangu watangulizi wake kama Mwl. Nyerere, Mwinyi, na MKapa hatujawahi kuona wakiwakaribisha wasanii wa miziki ikulu, sijui ndio kupungua kwa hadhi ya ikulu? mara tunamuona na mzee yusufu wa taarabu, mara Ray c, mara diamond, sijui kuna nini kati ya rais na wasanii hawa, amekuwa rais wa kwanza tz kukingia kifua maovu ya serikali yake, sijui waliomchagua rais huyu wanalionaje hili? maana hawamshauri hata kidogo.

nimekupenda bure
 
Ni mwiko kuendesha nchi kisanii kama anavofanya Kikwete, kwenye hotuba anaimba taarabu. Hivi rais anapata wapi mda wa kuwaza bongoflava kama sio kilaza, watu wanaiba ela afu anaongea kama sharo yo yo kamata mwizi, president my foot
 
Nadhani hii ni chuki iliyopindukia mipaka na ni ya kitoto sana. Nadhani bora ungeleta mada ya maana ambayo ina make sense kuliko hii.Ebu jiulize wewe mwenyewe mada yako inamchango gani ktk maendeleo ya taifa hili.Huyu ni Rais pekee aliyewathamini na kuwapa support wasanii. Na ktk kipindi chake tu cha utawala sanaa imepata heshima na angalau wasanii wameweza kupata kipato na kazi zao pia kulipa kodi. kama una ishu zako binafsi ni bora useme tu wewe unamchukia muheshimiwa raisi don't beat arround the bush. That is called paranoia.You have been consumed by hatred to Mr President. PIGA HATA DOGOLI,LIZOMBE,SANGURA,VANGA n.k ili nawewe upate heshima ya kukaribishwa ikulu otherwise ni childish jealous kwa wasanii wetu.
 
Ndiyo maana kila mtu anautaka urais-hadhi ya taasisi hii is approaching to zero

Kama kuna kazi ambayo ndugu JK amenikosha ni kutuondolea 'PERSONALITY CULT' nchini!
Rais anatakiwa awe ndugu yetu wa karibu zaidi, katika dhiki na faraja!
NB: IBADA YA MASANAMU NI SOMO PANA SANA!
 
hivi kuna mzinifu zaidi ya Dr Slaa na Mbowe? Dr Slaa kazini weeee mpaka kazaa watoto wote haramu. Uzinifu wake umefikia kilele baada ya kupora mke wa mtu na anazini naye kila siku. Ashukuru tu yupo Tanzania angekuwa Arabuni angepigwa mawe hadi kufa. Mbowe naye anaendelea kuzini na hivi karibuni kazini na Joyce Mukya hadi kuzaa mtoto wa haramu. Kwangu hawa ni wazinifu nambari one na si hao akina Diamond ambao wanakula ujana
una utani na tezi dume wewe.
 
mi binafsi nilisikitika niliposikia eti raisi hakwenda kumzika mnenguaji Aisha madinda hakikka raisi hajatenda haki
muda mrefu nimekuwa nikimfikiria sana rais Kikwete, kwamba anachofanya sijui ni kutafuta kupendwa au namna gani? maana tangu watangulizi wake kama Mwl. Nyerere, Mwinyi, na MKapa hatujawahi kuona wakiwakaribisha wasanii wa miziki ikulu, sijui ndio kupungua kwa hadhi ya ikulu? mara tunamuona na mzee yusufu wa taarabu, mara Ray c, mara diamond, sijui kuna nini kati ya rais na wasanii hawa, amekuwa rais wa kwanza tz kukingia kifua maovu ya serikali yake, sijui waliomchagua rais huyu wanalionaje hili? maana hawamshauri hata kidogo.
 
Bila kumsahau Habinder Sing Seth na mambo yetu yale ya PAP/IPTL.

Naam, Habinder Singh Sethi ana haki ya kumuona Rais kama ilivyo kwa Mbowe na Slaa na mambo yenu yale ya uzinzi.
 
Kama sio kuheshimu Hadhi Ya Bunge neno sahihi ni Kahaba wa Mbowe,halafu Mbowe ndio Malaya wa Joyce MUKYA lakini kwa hadhi ya Bunge tunaendelea kutumia neno hawara

Maneno hayo yanatumiwa na watu wa aina hiyo hiyo. Kwa hiyo wewe wao kitu kimoja.
 
Tanzania pana kazi kweli, lakini lazima pataeleweka tu kuwa nani hafai, watu na akili zao wanadhani rais kuwakaribisha waimba dansi ikulu ni sahihi? kwani waziri wa utamaduni na ofisi yake kazi yao ni nini? mnajiropokea tu, eti huyu mzinzi kuliko huyu, sasa kama mzinzi sisi inatuhusu nini? sisi tunataka rais mwenye maono ya kutaka kutukwamua hapa tulipokwama kiuchumi, maana Kikwete yeye alisema hajui kwanini watz ni maskini, wala katiba haisemi ili uwe rais usiwe mzinzi au lazima uwe na mke, hamna kipengele cha namna hiyo kikatiba, sisi tunatafuta mtu wa kutukwamua hapa, haijalishi dini wala ana wake wangapi, mbona kikwete ana mke zaidi ya mmoja na hatusemi? mnadhani hatuoni, hatusemi kwasababu hayo sio kipaumbele.
 
Unapokuwa huna mambo ya msingi ya kufanya (kutokana na uwezo wako wa kufikiri) lazima utaentartain mambo yasiyo ya msingi. Sidhani hata kama waziri wa habari na michezo jinsi alivyobanwa na majukumu kama anamjua huyo Idris achilia mbali diamond inawezekana amemsikia clouds...aisee this is Tanzania uijuayo
 
muda mrefu nimekuwa nikimfikiria sana rais Kikwete, kwamba anachofanya sijui ni kutafuta kupendwa au namna gani? maana tangu watangulizi wake kama Mwl. Nyerere, Mwinyi, na MKapa hatujawahi kuona wakiwakaribisha wasanii wa miziki ikulu, sijui ndio kupungua kwa hadhi ya ikulu? mara tunamuona na mzee yusufu wa taarabu, mara Ray c, mara diamond, sijui kuna nini kati ya rais na wasanii hawa, amekuwa rais wa kwanza tz kukingia kifua maovu ya serikali yake, sijui waliomchagua rais huyu wanalionaje hili? maana hawamshauri hata kidogo.

Hujui kuwa raisi wako nae Msanii tu?
 
Kama sio kuheshimu Hadhi Ya Bunge neno sahihi ni Kahaba wa Mbowe,halafu Mbowe ndio Malaya wa Joyce MUKYA lakini kwa hadhi ya Bunge tunaendelea kutumia neno hawara

Hili linaingiaje humu! Au na wewe ni hawara wa purofwesa mana unamsifiiiia hata akiongea uharo!!
 
Back
Top Bottom