Rais wangu Kikwete unajidhalilisha sana.

Mahara Nguku

Member
Joined
Dec 9, 2014
Posts
27
Reaction score
7
muda mrefu nimekuwa nikimfikiria sana rais Kikwete, kwamba anachofanya sijui ni kutafuta kupendwa au namna gani? maana tangu watangulizi wake kama Mwl. Nyerere, Mwinyi, na MKapa hatujawahi kuona wakiwakaribisha wasanii wa miziki ikulu, sijui ndio kupungua kwa hadhi ya ikulu? mara tunamuona na mzee yusufu wa taarabu, mara Ray c, mara diamond, sijui kuna nini kati ya rais na wasanii hawa, amekuwa rais wa kwanza tz kukingia kifua maovu ya serikali yake, sijui waliomchagua rais huyu wanalionaje hili? maana hawamshauri hata kidogo.
 
JK ni Raisi wa waTanzania wote, hata wewe Ndugu Mahara Nguku ukitaka kumwona Ikulu unakaribishwa. Hivi tangia lini wasanii wamekuwa wahalifu?
 
jk anaponzwa na washauri tu na kufanya mambo kwa mtindo ule ule wakitegemea watanzania ni wale wale kitu ambacho si kweli
 
muda mrefu nimekuwa nikimfikiria sana rais Kikwete, kwamba anachofanya sijui ni kutafuta kupendwa au namna gani? maana tangu watangulizi wake kama Mwl. Nyerere, Mwinyi, na MKapa hatujawahi kuona wakiwakaribisha wasanii wa miziki ikulu, sijui ndio kupungua kwa hadhi ya ikulu? mara tunamuona na mzee yusufu wa taarabu, mara Ray c, mara diamond, sijui kuna nini kati ya rais na wasanii hawa, amekuwa rais wa kwanza tz kukingia kifua maovu ya serikali yake, sijui waliomchagua rais huyu wanalionaje hili? maana hawamshauri hata kidogo.

A leader who takes advantage of events to make history,is a leader whose perfomance leaves no history-Salary Slipi wa Jamiiforums.
 
nisije nikaenda kuvurugana naye bure, maana nitamkosoa mengi sana asije akaniona kama nimetumwa na wapinzani, wakati ni matakwa ya wananchi wa kawaida kama mimi.
 
Watu wengine bila ya jk wasingezaliwa lakini nao kelele kibao.
 
muda mrefu nimekuwa nikimfikiria sana rais Kikwete, kwamba anachofanya sijui ni kutafuta kupendwa au namna gani? maana tangu watangulizi wake kama Mwl. Nyerere, Mwinyi, na MKapa hatujawahi kuona wakiwakaribisha wasanii wa miziki ikulu, sijui ndio kupungua kwa hadhi ya ikulu? mara tunamuona na mzee yusufu wa taarabu, mara Ray c, mara diamond, sijui kuna nini kati ya rais na wasanii hawa, amekuwa rais wa kwanza tz kukingia kifua maovu ya serikali yake, sijui waliomchagua rais huyu wanalionaje hili? maana hawamshauri hata kidogo.
Mkuu ameishusha hadhi ikulu yetu in such a way now kila mtu anajiona anafaa kuwa rais-Ngereja from vodacom mpaka kuutaka urais
 
Ndiyo maana kila mtu anautaka urais-hadhi ya taasisi hii is approaching to zero
Kuutaka Urais ni kitu kimoja na kuupata ni kitu kingine kila mtu anaweza kuutaka hata mjinga wa kawaida ila atakayeupata ni yule mwenye sifa na hekima,muulize lipumba,mbowe na babu slaa wameusotea lakini wametoka kapa kwavile sifa na vigezo sifuri.
 
Hao Waliokuwa hawakaribishi wasanii ndo inabidi tuwashangae kwa nn hawakufanya ivo,ivi filbert Bayi kweli hakupaswa kualikwa ikulu baada ya majabu alofanya kwenye Olimpik miaka ya 1970 au Rashid Matumla mwanzoni mwa mwaka 2000
Kodi zao mchukue, kwny kampen mbalimbali muwatumie Kukaribishwa Ikulu iwe Haraka,au kwa kuwa hizo fursa hamuwezi kuleta ujanja wa kupendelea Ndugu na jamaa zenu
 
Kuutaka Urais ni kitu kimoja na kuupata ni kitu kingine kila mtu anaweza kuutaka hata mjinga wa kawaida ila atakayeupata ni yule mwenye sifa na hekima,muulize lipumba,mbowe na babu slaa wameusotea lakini wametoka kapa kwavile sifa na vigezo sifuri.
Kama wanaccm wote wanaakili hizi na hao ndio waotawala nchi hii-basi Tanzania ni nyumbani kwa mr.umasikini hapa duniani
 
Hao Wote Uliowataja Ni Wazinzi Wenzake,

Ndege Hufananao Huruka Pamoja

hivi kuna mzinifu zaidi ya Dr Slaa na Mbowe? Dr Slaa kazini weeee mpaka kazaa watoto wote haramu. Uzinifu wake umefikia kilele baada ya kupora mke wa mtu na anazini naye kila siku. Ashukuru tu yupo Tanzania angekuwa Arabuni angepigwa mawe hadi kufa. Mbowe naye anaendelea kuzini na hivi karibuni kazini na Joyce Mukya hadi kuzaa mtoto wa haramu. Kwangu hawa ni wazinifu nambari one na si hao akina Diamond ambao wanakula ujana
 
Kama wanaccm wote wanaakili hizi na hao ndio waotawala nchi hii-basi Tanzania ni nyumbani kwa mr.umasikini hapa duniani

kama unashinda mtandaoni kuwafanyia kazi akina Mbowe huku ukilipwa ujira kidogo unategemea utauaga umaskini. Tulishaambiwa kuwa kama tunataka mali tutazipata shambani na si humu jf
 
Back
Top Bottom