Rais wa Zanzibar awateua Mufti na Kadhi Mkuu wa Zanzibar

Kwa uteuzi huu kwisha habari yao waislam bara .Hatuwezi kubali kumbe ndiyo maana wanalilia kuingizwa kwenye katiba .Wameishahauna kitu tena labda wahamie wote Zanzibar
 
fatwa maana yake nini? nimeona kwenye hii thread hili neno limerudiwa rudiwa sana.

Kwanza nikuweke sawa Kiswahili sanifu ni Fatuwa na sio fatwa.
Maana ya fatuwa ni uamuzi wa mwanachuoni wa Kiislamu katika masuala ya dini.
Kwa maneno mengine ni hukumu fulani inayotolewa na alimu wa ngazi za juu wa Kiislamu kama Mufti, kadhi na kadhalika
 
Kwani wewe ulifikiri inakuwaje kuhusu mahakama ya kadhi? Kadhi ni alternative ya hakimu kwenye serikali secular. Kwa ufupi Uislam ni dini ambayo doctrine yake haiwezi kutenganishwa na mfumo wa kiserikali. Mfumo wa kimagharibi ya separation of Church and State si mfumo sahihi kuendesha mambo yao ndio maana wanalalamika sana kwa kuuita mfumo Kiristo.

Lakini sasa hiyo haiwezekani hapa Tanzania bara; na hata huko Zanzibar ni makosa makubwa sana kwa serikali inayojiita secular ya huko Zanzibar kuendekeza hii mifumo dini kama kuteua kadhi au mufti. Sema tu hakuna namna ya kurekebisha hii hali na watu wasio waislam wanaoishi Zanzibar japo ni wachache lakini wamejifunza kuwa wavumilivu kushi wakiwa wamezungukwa na maisha kandamizi ya kidini;

Somo tunalojifunza hapa ni kutowapa nafasi wale wanaotaka kututawala kwa misingi ya kidini kama hawa wa mahakama ya kadhi.

Serikali inalipia sana taasisi za dini mfano MoU ya serikali na kanisa..inalipia fedha za kuendesha shughuli za dini..na hakuna auditing yoyote inafanyika na goverment auditors wala kamati za bunge..

Kwahiyo si kweli kwamba serikali haina dini...ila ina dini ya kikrsito
 
Je, iwapo rais akiwa mchungaji rwakatare watakubali awachagulie kadhi?
 
Kwa uteuzi huu kwisha habari yao waislam bara .Hatuwezi kubali kumbe ndiyo maana wanalilia kuingizwa kwenye katiba .Wameishahauna kitu tena labda wahamie wote Zanzibar

Serikali ya Zanzibar kuwa na jukumu la kuteua viongozi wa juu wa kuongoza dini ni uthibitisho kwamba viongozi wa dini katika serikali ya Zanzibar ni mojawapo wa viongozi wa umma kutokana na hierarikia ya uteuzi wa viongozi wa umma. Kwa utaratibu huu serikali inawajibika kuwalipa mishahara na mafao wateuliwa hao pamoja na kutoa fund kwa ajili ya shughuli za dini. Hiki ndicho kinachopiganiwa na Waislamu Tanzania.
 
Serikali inalipia sana taasisi za dini mfano MoU ya serikali na kanisa..inalipia fedha za kuendesha shughuli za dini..na hakuna auditing yoyote inafanyika na goverment auditors wala kamati za bunge..

Kwahiyo si kweli kwamba serikali haina dini...ila ina dini ya kikrsito

Kwani Kikwete alivyowajibu pale Dodoma kuhusu MOU (whatever that means) hukumwelewa? Hata hivyo wewe bado kabisa upo kwenye zama za karne ya 6 kama unaona serikali ya Tanzania ina dini tena dini yenyewe ya Kikristo. Umevaa miwani ya dini kiasi kwamba kila ukionacho unakitafsiri kwa hisia za either ukristo au uislam. Watu kama wewe ni hatari sana kuwaweka kwenye nafsi kubwa sana za maamuzi wawe wakristo au waislam; Be a moderate believer please, okay?
 
Hivi katiba haijakiukwa? Ndio mwanzo hao viongozi wanateuliwa na Rais wa Zanzibar au ndio jadi?
 
Kwani Kikwete alivyowajibu pale Dodoma kuhusu MOU (whatever that means) hukumwelewa? Hata hivyo wewe bado kabisa upo kwenye zama za karne ya 6 kama unaona serikali ya Tanzania ina dini tena dini yenyewe ya Kikristo. Umevaa miwani ya dini kiasi kwamba kila ukionacho unakitafsiri kwa hisia za either ukristo au uislam. Watu kama wewe ni hatari sana kuwaweka kwenye nafsi kubwa sana za maamuzi wawe wakristo au waislam; Be a moderate believer please, okay?

Kwa hiyo kutumia pesa za umma kuhudumia ukristo ni halali?

Lakini when it comes to kutumia kwa ajili ya waislamu ni udini..hi logic yenu ya kufikiri ni ipi?

JK amefuata maagizo ya Maaskofu kwa hiyo anasikiliza wakristo na nchi inaongozwa kikristo logic
 
Serikali inalipia sana taasisi za dini mfano MoU ya serikali na kanisa..inalipia fedha za kuendesha shughuli za dini..na hakuna auditing yoyote inafanyika na goverment auditors wala kamati za bunge..

Kwahiyo si kweli kwamba serikali haina dini...ila ina dini ya kikrsito
Kinachotakiwa na nyinyi mnaendae makubaliano yenu! hii MoU ya kanisa na serikali itaendelea kuwepo mpaka wote tukitangulia mbele ya haki! Tatizo lenu nyinyi hata wasomi wenu ambao wangewasaidia kuandaa MoU nzuri mnawakana mnabaki kudanganyana vilaza peke yenu!
 
Kama mfumo wenyewe ndio huu basi hakuna haja ya kuacha mahakama hii ya kadhi (amayo ni ibada kamili ya waislamu) kuwa chini ya serikali! Just imagine Mkapa (alipokuwa Rais) anamteua Mufti Shaaban Simba kuwa Kadhi Mkuu! Sasa huyo Rais ndio anakuwa Mkuu wa Dini ya Kiislamu au vipi? Mambo mengine tusiyashabikie hata kidogo!
 
Unafurahia upendeleo..unafurahi kuwahi katika kuiba mali za umma..

Tutapiga kelele mpaka hilo li-MoU liondoke..hakuana haja ya waislamu kuandaa mikataba ya uwizi wa mali za umma

MoU=Richmond..
 
Kama mfumo wenyewe ndio huu basi hakuna haja ya kuacha mahakama hii ya kadhi (amayo ni ibada kamili ya waislamu) kuwa chini ya serikali! Just imagine Mkapa (alipokuwa Rais) anamteua Mufti Shaaban Simba kuwa Kadhi Mkuu! Sasa huyo Rais ndio anakuwa Mkuu wa Dini ya Kiislamu au vipi? Mambo mengine tusiyashabikie hata kidogo!

Iko siku itatokea sijui utafanyeje?
 
RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein ameteua viongozi wa dini ya Kiislamu akiwemo Mufti Mkuu pamoja na Kadhi Mkuu wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu, Saleh Omar Kabhi ameteuliwa kuwa Mufti Mkuu wa Zanzibar ambaye anachukua nafasi ya Harith bin Khelef aliyefariki miaka miwili iliyopita nchini India akitibiwa.
Kufikia rais wa nchi ndiye anamchagua Mufti ujue kuna tatizo!... yeye mwenyewe sii ulamaa hivyo kitendo cha rais kuchagua Mufti ni kwa sababu za kiutawala zaidi, huyu anakuwa mwakilishi wa rais ktk maswala ya dini kwa wananchi kama vile kumteua waziri au RC - Makosa makubwa!
 
Kwa hiyo kutumia pesa za umma kuhudumia ukristo ni halali?

Lakini when it comes to kutumia kwa ajili ya waislamu ni udini..hi logic yenu ya kufikiri ni ipi?

JK amefuata maagizo ya Maaskofu kwa hiyo anasikiliza wakristo na nchi inaongozwa kikristo logic

Sawa; mimi sina details za hayo mambo ya MOU. Kwa kuwa fair mimi nadhani ni makosa pia kuchukua hela za walipa kodi waislamu kwa wakristo kutumika kwa manufaa ya dini moja. Japo sijui hizo details za hayo maridhiano ya MOU lakini mimi nadhani labda kuna vitu technical zaidi vilivyopelekea serikali kuona muhimu kutoa hela hizo; Kwa mfano; mimi sioni kama ni jambo kubwa kwa serikali kama inaona ni muhimu kusubsidize shughuli za tiba kwenye hospitali ya KCMC (inayohudumia afya ya watanzania wote bila kujali rangi au dini); Lakini natanguliza tahadhari kwamba hizo details za MOU sizijui. Ila hii ni tofauti kabisa na mahakama ya kadhi. Hii mahakama ni purely a religious exercise tena specific opresheni zake zimewekwa wazi: kushunghulikia migogoro ya ndoa; urithi; etc. Yaani kama huelewi; ni sawa na kuiomba serikali iliweke kwenye budget suala la sherehe za ubatizo wa watoto kikristo kwenye katiba yake; We unaona inaleta sense?
 
Je upo udhibitisho wa serikali kuwapa wakristo pesa!,hizi porojo zinatoka wapi?Mbona sijawai kusikia kwenye bajeti!
 
Serikali inalipia sana taasisi za dini mfano MoU ya serikali na kanisa..inalipia fedha za kuendesha shughuli za dini..na hakuna auditing yoyote inafanyika na goverment auditors wala kamati za bunge..

Kwahiyo si kweli kwamba serikali haina dini...ila ina dini ya kikrsito
MoU ndio taasisi gani hiyo?
 
Kufikia rais wa nchi ndiye anamchagua Mufti ujue kuna tatizo!... yeye mwenyewe sii ulamaa hivyo kitendo cha rais kuchagua Mufti ni kwa sababu za kiutawala zaidi, huyu anakuwa mwakilishi wa rais ktk maswala ya dini kwa wananchi kama vile kumteua waziri au RC - Makosa makubwa!

Mkandara you have said it all .Take five man .I have been asking myself hapa kwamba akisha mchagua huyu anaweza kusimamia wanayo waamini waislam ? Na je Kwa katiba yetu au hata ya huko Zanzibar wale Minority inakuwaje ? Katiba inawatambuaje hawa wananchi wake ?I am puzzled for sure .
 
Sawa; mimi sina details za hayo mambo ya MOU. Kwa kuwa fair mimi nadhani ni makosa pia kuchukua hela za walipa kodi waislamu kwa wakristo kutumika kwa manufaa ya dini moja. Japo sijui hizo details za hayo maridhiano ya MOU lakini mimi nadhani labda kuna vitu technical zaidi vilivyopelekea serikali kuona muhimu kutoa hela hizo; Kwa mfano; mimi sioni kama ni jambo kubwa kwa serikali kama inaona ni muhimu kusubsidize shughuli za tiba kwenye hospitali ya KCMC (inayohudumia afya ya watanzania wote bila kujali rangi au dini); Lakini natanguliza tahadhari kwamba hizo details za MOU sizijui. Ila hii ni tofauti kabisa na mahakama ya kadhi. Hii mahakama ni purely a religious exercise tena specific opresheni zake zimewekwa wazi: kushunghulikia migogoro ya ndoa; urithi; etc. Yaani kama huelewi; ni sawa na kuiomba serikali iliweke kwenye budget suala la sherehe za ubatizo wa watoto kikristo kwenye katiba yake; We unaona inaleta sense?

Kama ulifuatilia hotuba ya JK anasema wakristo wameomba (MoU) wakapewa..other details tulishaweka hapa mara nyingi each year serikali inapeleka pesa 60bil. kwenye taasisi za kikristo TEC etc.. Kuanzia mwaka 1992:

Kinachosikitisha hakuna auditor wa serikali anayepewa au kamati za bunge kuangalia kama zinatumikaje?..guess what wantumia kuendesha shughuli na kuhubiri dini ikiwemo shughuli za ubatizo?

Kama hilo linawezeka kwa wakristo kwanini iswe kwa waislamu kuendesha shughuli za kupata hukumu sahihi kutegemeana na dini yao (ibada) what is the issue here?

Kwanini ikutumika kwa wakristo siyo udini ikitumika kwa waislamu ni udini?
 
Back
Top Bottom