Rais wa Zanzibar awateua Mufti na Kadhi Mkuu wa Zanzibar

usidhani ni kweli habari hiyo. Kwani ulikuwa hujui hilo. Zanzibar wana Mufti na kadhi Mkuu yaani wao wana mahakama ya kadhi ambayo inashughulikia kesi zinahusu masuala ya dini ya Kiislamu kama ndoa, mirathi, talaka na kadhalika
Mufti na Kadhi wana nafasi gani serikalini huko Zanzibar?
 
Nimekuelewesha hapo modalities za uteuzi zinaweza kuangaliwa..rais anapelekwa majina na maulamaa

Mkuu ccm = chadema=maaskofu kuhusu mambo ya waislamu hauna tofauti yeyote ...

Kwa hiyo ushabiki wako kwa chadema kusikufanye kupindisha ukweli
Mkuu, umeulizwa swali rahisi tu na unatakiwa utoe jibu rahisi....... NI AYA AU HADITH GANI KIATIKA VITABU VYA KIISLAMU VINAEMA MUFTI AU KADHI ACHAGULIWE NA RAISI..??? Tatizo kubwa mlilonalo ni kuwa hata mkikosea na kukosolewa huwa mnaona kuwa mnaonewa........... JIBU HILO SWALI
 
Rais Mwinyi 'alimteua' Marehemu Sheikh Hemed Bin Jumaa bin Hemed kuwa Mufti wa Tanzania mwaka 1989. Kabla ya hapo alikuwa akijulikana kama Sheikh mkuu wa Tanzania na hatukuwa na mufti kabla ya hapo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom