Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 780
- 1,831
Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza kifo cha Rais wa zamani Muhammadu Buhari, ambaye amefariki Jumapili mjini London baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Licha ya tangazo hilo familia ya Mohamed nayo imethibitisha kifo hicho cha Raisi huyo
Baada ya taarifa hiyo Makamu wa Rais Kassim Shettima ameelekezwa kusafiri hadi Uingereza kwa ajili ya kuunda kwa ajili ya Hatua za mazishi huko Nigeria
Buhari, ambaye amewahi kuwa rais wa kiraia wa Nigeria kutoka 2015 hadi 2023 na hapo awali kama mtawala wa kijeshi kutoka 1983 hadi 1985,
Anatambuliwa sana kwa msimamo wake mkali wa kupinga ufisadi na juhudi zake za kurekebisha uchumi wa taifa wakati wa uongozi wake.
Katika hatua nyingine Anajulikana pia kwa sera zake zenye utata lakini zenye athari juu ya usalama wa taifa, mseto wa kiuchumi, na mapambano dhidi ya uasi, ambayo ilifafanua sehemu kubwa ya utawala wake.