Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

Ndo mana watawala wa CCM hawatataka kusikia mambo ya katiba mpya
 
Tatizo LA Zuma lilianza baada ya kufanikiwa kuchukua uongoz wa chama na kumfanyia figisu Mbeki mpaka akaachia ngazi kwa hiyo sasa hv analipia bili kwa yale aliyofanya
 
We can’t allow Zuma to speak in parliament, Julius Malema

On this occasion I salute honourable Julius Malema for reminding the head of executive pillar and the speaker to adhere to the demands of the constitution that once you take an oath you have to abide to it and not disregard the vow to protect the constitution just because you are the head of the state or a speaker of the house.
 
Acha uzushi
Asa unabisha Nn? Wakati Hii Kesi Inaanza Zuma Alipeleka P.O HC akiomba Jaji Zondo ajiondoe kwasaba Jaji Zondo akiwa Wakili Kabla hajawa Judge Aliwahi Kuwa Wakili Wa Complainant mmojawapo Ila Zondo akagoma kujiondoa
 
Zuma anakashifa nyingi sana pindi yuko madarakani ya kupiga pesa ndefu kujenga mijengo ya kifahari unaposema anabifu na jaji unamaanagani?
 
Zuma amekuwa Kwenye Hii mess kwa sabb ya Firm ya Mabuza attorneys. They advised him not to appear before the Zondo Commission of inquiry... Wajinga Sana Hawa
 
Zuma anakashifa nyingi sana pindi yuko madarakani ya kupiga pesa ndefu kujenga mijengo ya kifahari unaposema anabifu na jaji unamaanagani?
Zuma Aliwahi kumwambia Judge Zondo Kwamba U made himself a Witness and a Judge and he is now going to be reported to Justice system commission Lakini Kwenye inquiry Zuma hakuweza Kuthibitisha hizo Alergations zake
 
Zuma amekuwa Kwenye Hii mess kwa sabb ya Firm ya Mabuza attorneys. They advised him not to appear before the Zondo Commission of inquiry... Wajinga Sana Hawa
Mkuu umetia Nkandla report, Dudu Myeni umepitia riport yake pesa zilizopogwa SA airline ? Hapo jaji kaingia?
 
Mkuu umetia Nkandla report, Dudu Myeni umepitia riport yake pesa zilizopogwa SA airline ? Hapo jaji kaingia?
Duuuh aiseeeh, elewa Kaka Hii Ni Ruling/Uamuzi Wa Kesi Ndogo ndani ya Kesi Kubwa, Kwa Maana ya Zuma kukataa Kwenda kutoa ushahidi so akapigwa Contempt Ila Kesi ya Msingi inaendelea
 
Hio ndio democracy ,the rule of law

Nobody is above the law even the president himself/herself.

Huku ndugai anatumia tu madaraka vibaya kwa kuwalipa mishahara covid 19 .

Angekuwa sauzi angekuwa anajihakikishia kunyea mtondo/debe
Waiting TO HEAR from USA.
 
Jela ni nyumbani huyo, keshakaa sana kipindi cha makaburu na alikuwa anakuwa refa kwenye game za jela... Anaenda tour tu, ila tofauti ni kuwa this time anaenda kitemi.
 
Vipi huku,mfano utawala wa Magufuri ungemfunga Mstafu Kikwete,watu wangelisema Magufuri Mpaka basi kuwa anavisasi,Kama amejaribu kuwakamata Wakina Lugemarila na wezi ambao ktk utawala wa Mkwere,watu wamepiga kelele kuwa, utawala wa Magufuri alikuwa unaonea watu.Watanzania hatujajua tunaitaji kuongozwa na Rais gani; Maana akija mkali kidogo watu wanalilia,akiwa mpole napo wanalalamika.Me nasubili tuongozwe na malaika labda ndio tutaacha malalamiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…