Kijana anayejiamini kupindukia! hakuna kisichowezekana mbele yake. Huyo mama alikuwa mwalimu wa emanuel wa maigizo, kipindi hicho emanuel ana miaka 15 au 16 hivi, na mwalimu miaka 54.Kijana kwa kujiamini akampiga sound mwalimu wake sound ikajibu!
Kujiamini kwake kukampa ujasiri wa kugombea urais pamoja na kutokuwa na uzoefu wowote wa kisiasa na huyooo akashinda urais.
Emanuel Macron ni ushuhuda hai wa jinsi nguvu ya kujiamini inavyoleta mafanikio.
Hayo ya mke kumzidi umri tuyaache maana ni faragha ya maisha yake. Hata hivyo mkewe kamsaidia sana kwenye kampeni zake:Mama alimwandikia na kuhariri hotuba zake (Mama ni mwalimu wa fasihi)
Ima alipokuwa na miaka 15 mwalim alikuwa 39 akielekea 40 alikuwa ameolewa mwaka 1974 na alikuwa kwenye ndoa ambayo tayari imeanza matatizo na inaeleka kufa, Ima na mwalimu walipendana mpaka baba yake wa Ima aka mwambia mwalim kuwa akae mbali kdogo na kijana wake at least mpaka amalize masomo, Ima alikuwa ana akili na alisoma pamoja na mtoto wa mwalim, mwalim pia alivutiwa sana na hilo
Mwalim anasema Ima akiwa na miaka 17 alikuwa ana mwambia ata muoa, nalikuwa ana mshawishi aombe talaka ili amwoe, mwalim alisema yeye na Ima walikuwa wakiongea usiku mzima kwa sim. lakin pia hakudhani kama Ima angetaka kumwoa kweli mtu alomzidi kias hiko but Ima was bold na aliendelea kumpenda mwalim
Ima alipo fikisha miaka 29 na mwalim alikwa na miaka 53, ali mwambia mwalim anataka kumuoa, mwalim alidai talaka hiyo ni mwaka 2006, mwaka 2007 ima alimuoa mwalim , hapo mwalim akiwa na 54.
mwalim ana sema Ima siku ana muoa, alimwambia, "nataka tuwaoneshe watu wanao tusema kuwa tunapendana kweli" na kweli mpka sas Ima ana waonesha kweli kweli
Ima hasemwi na wabongo to anasemwa mpaka na wafaransa, wengine wana diriki hata kusema ni shoga na ana jisitiri tu kwa mwalim, lakin yeye wala hana shida ana mpenda mkewe.
Ima sasa ni Rais mteule, akiwa Rais mwalim atakuwa sehemu muhimu ya maamuzi ya nchi.
Ima na mwalim wanapendana lakin sipati picha wanapokea mneno mangap ya kejeli kwa kupendana kwao.