Rais wa ufaransa na mkewe

Rais wa ufaransa na mkewe

Jamaa lazima atakuwa na side arm... si kwa uzee huo wa mkewe. Kakomaa kama fundu welding
 
Walianza wakati kijana ana miaka 15 uhusiano kipindi hicho bibie baby baby ana miaka 40 number haina matter
 
Sio pesa bhana,wameanza mahaba wakati Macron ni mwanafunzi na first lady mwalimu wake,wazazi wakajua kua Macron anafukuzia bint wa ticha wake.Kumbe wapiiiiii
Tunarudi pale pale shkamoo Pesa, maana ndiyo aliye mfikisha hapo alipo!
 
Kila mtu ana siri ya mafanikio yake Huenda hiko kibibi ndo upepo wake akikigegeda anakubalika kichizii
 
Back
Top Bottom