Rais wa ufaransa na mkewe

pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,642
6,267
FB_IMG_1494445606047.jpg
Emanuel macron mwenye umri wa miaka 39 wakiwa na mkewe Bridgette macron mwenye miaka 64.
 
Mtu akiwa na mke aliyemzidi umri watu wanawaza uyu jamaa anamgegedaje! Haswa sisi wanaume ndo wengi wetu tunawaza ivyo.
Ila mlishajiuliza labda uyo rais ana mapungufu yake na ndo maana akaamua kujificha kwa uyo bibi?
Labda aliona akioa kijana kama yeye atashindwa kumtuzia siri na nazani watu mnajua mambo ya siasa yalivyo na jamaa alifunga harusi na uyo bibi baada ya kuingia kwenye siasa japo walijuana kabla
Nimawazo yangu tu lakini.
 
kwa hali hiyo sizani kama atamaliza miaka 10 bila kumkuta mfano wa scandal ya Bill na Monica
atachepuka tu hamna utulivu hapo ukizingatia watoto wazuri wamejaa kizazi hiki hana namna
 
Back
Top Bottom