Rais wa ufaransa na mkewe

Rais wa ufaransa na mkewe

Inakuhusu hii kitu nini? Maana watu wa nje kwa vibibi kwa ajili ya green card ndiyo wenyewe! Mr Iceman sema ukweli hahahaha!
hahahaha
mi mtoto wa Tandale tu, ila naonaga bongo watu umri kwo ishu kishenzi, yaan mdada kakuzidi miaka miwili tu ukimtokea anajifanya yeye mkubwa, nasisitiza tu kumpenda mtu alokuzid umri ipo hiyo,

wewe mtu uki mzid miaka ndio hawi eligible!?
 
Inawezekana huyo ndiye aliyemwongoza hadi akafanikiwa kuwa Uraisi wa Ufaransa.

Watoto wa mjini, je huyo naye ni Mario ?
Nilisikia alikuwa mwanafunzi wake...akaanza kumpenda akiwa na miaka 17...na amesoma na mtoto wa pili wa huyu mama...
 
Tuwe na akiba ya maneno huenda zikaja taarifa tofauti kabisa.
 
hahahaha
mi mtoto wa Tandale tu, ila naonaga bongo watu umri kwo ishu kishenzi, yaan mdada kakuzidi miaka miwili tu ukimtokea anajifanya yeye mkubwa, nasisitiza tu kumpenda mtu alokuzid umri ipo hiyo,

wewe mtu uki mzid miaka ndio hawi eligible!?
Mi kwangu miaka ni number! Kitu brains au mr Pesa! Duh kumbe we wa Tandale! Mtu me aasalale!
 
Kimama mishipa imemtoka kama mwanariadha... duh huyu jamaa anapata Ashki ya kumgonga kweli! !!!!! nauliza tu jamani
 
sijakuelewa mkuu ina maana huyo first lady ni tajiri?
Sasa kadogoo kange mfikisha wapi?huyo mama ana hekima na kijana full force ambitious, a perfect match!
 
Back
Top Bottom